Odama huvumi lakini umo

Ndio mana yake watu wamemshtukia , anapenda sana sifa eti kajifungulia wanapojifungulia akina Kim kardashian, c bongo tungekoma

Hiiiiiiii na siku akipiga picha hata na Beyonce au Lupitaa hatutapumuaaa nakuambiaaaa
 
Kwani Sintah ana mimba!!

Ndio mpenzi ana mimba kubwa tu sijui anashindana na Mange kubeba mimba maana mara ya kwanza ilitoka akaenda Zanzibar kujifariji Mange akamwambia mimba za majani,sasa hivi hiyo na yeye tungojee ataenda kujifungulia Trauma maana kibongo bongo Trauma ndio ipo juu
 

Tutakutumia picha zetu ututafutie.
Cc.. heaven on earth Dinazarde Honey Faith qn of sheba
 
Last edited by a moderator:

mweee nitarudi....mulame salama
 
Binamu huyo dada hunipa presha nishaacha kuingiaa kwenye blog yakee aisee mara ajifunguee kwenye hospital za kina Beyonce mayoweeeeeeee mi hata kwa Dr. Kilonzo nishashindwaaa

Bwahahahaaaaaaaaa..... lol
 

Mimba ya naniii ajikaze jamani akajifungulie hata Dubaiii lol
 
Mwenzangu namwonea huruma huyo Sintah maana michambo ni mikubwa nahisi mimba itatoka, na huyo Mange anaachia comments mpaka za mama yake Sintah

Mange huwa namwona ni fyatu
 
Aiseee!!! Tuache utani Papuchi inalipa bana...Wakileta na kile kisheria kama cha Uganda gharama itakuwa x2 balaa..

Wenye bikira wanataka ndege...Asalalaaa

Ngoja nizichange 😉


Nami naiweka yangu mnadani officially from now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…