Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Je usipopataa unachokitegemeaa itakuajeeee!!!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaa ila binamu me nimekaa miaka mi3 pale CBE sijaambulia hata messenger wa bunge lol!
Kwani Sintah ana mimba!!
Ndio mana yake watu wamemshtukia , anapenda sana sifa eti kajifungulia wanapojifungulia akina Kim kardashian, c bongo tungekoma
Mi nishasikiaa toka muda mrefu ana mimbaaa sijuii ni kwelii ya le mutuz nini
Hahhhahahhhha aiseee inabidi na hili walipitishe kwenye katiba wallahi haiwezekani iwe kina Faraja Kota tu lolll
Kwani Sintah ana mimba!!
hawa ma celebrity wetu wanafahamika sana binamu so ni rahis wabunge na wenye nazo kuwaona ki urais kupitia movie na magazeti so mtu akimpenda yeyote anaagiza watu wamtafute haraka sana na sina unajua binamu kwenye mpunga hakuna kinachoshindikana zaidi ya kifo? Ndo apa sasa mapedeshee wanapojiweka kwa mastaa , tofauti na mtu wa kawaida labda tu akuone sehemu akupende
Ndio mpenzi ana mimba kubwa tu sijui anashindana na Mange kubeba mimba maana mara ya kwanza ilitoka akaenda Zanzibar kujifariji Mange akamwambia mimba za majani,sasa hivi hiyo na yeye tungojee ataenda kujifungulia Trauma maana kibongo bongo Trauma ndio ipo juu
Binamu huyo dada hunipa presha nishaacha kuingiaa kwenye blog yakee aisee mara ajifunguee kwenye hospital za kina Beyonce mayoweeeeeeee mi hata kwa Dr. Kilonzo nishashindwaaa
aaaah aah nasikia kumbe alikuwa anaandika jina tu hakuna cha hyo hospital wala nini
huyu hapa
![]()
Muke ya muzungu sa hivi sintah anachambajwe sasa mle ndani........
Ndio mpenzi ana mimba kubwa tu sijui anashindana na Mange kubeba mimba maana mara ya kwanza ilitoka akaenda Zanzibar kujifariji Mange akamwambia mimba za majani,sasa hivi hiyo na yeye tungojee ataenda kujifungulia Trauma maana kibongo bongo Trauma ndio ipo juu
bungeni binamu, kuna kipindi walialkiwa bongo movie bungeni uko ndo mambo yote yana ji set automatically....
Mwenzangu namwonea huruma huyo Sintah maana michambo ni mikubwa nahisi mimba itatoka, na huyo Mange anaachia comments mpaka za mama yake Sintah
Aiseee!!! Tuache utani Papuchi inalipa bana...Wakileta na kile kisheria kama cha Uganda gharama itakuwa x2 balaa..
Wenye bikira wanataka ndege...Asalalaaa
Ngoja nizichange 😉
Mwenzangu yule hutakiwi kugombana naye ukigombana naye uwe umejipanga maana atatafuta data zako zote aziweke kwenye blog yakeMange huwa namwona ni fyatu