Binamu huyo dada hunipa presha nishaacha kuingiaa kwenye blog yakee aisee mara ajifunguee kwenye hospital za kina Beyonce mayoweeeeeeee mi hata kwa Dr. Kilonzo nishashindwaaa
Ndo nimetoka kumwambia Heaven on Earth kuhus hiko kit, huo mchezo upo sana instagram, mtu yupo tandika kwenye Insta location Mbezi beach au masaki bhaaas , watu wanatafuta heshima kwa nguvu
Je usipopataa unachokitegemeaa itakuajeeee!!!
Numwa kichwa mbaya ngoja nikalale
huyu msusi wa leo najuuutraaaaaaaaaaa
Mimba ya naniii ajikaze jamani akajifungulie hata Dubaiii lol
Nani huyo hebu tung,'ate sikio
Ahahahahahaaaa!! kwa hiyo huwa unaenda kujifungulia wapi?
Kama ni gvt basi hiyo hospitali ipo juu na view, mmmmmhhhhhh
Nani huyo hebu tung,'ate sikio
Sintaa nae akajifungulie hata Dubaii akod hospital nzimaa
Hivi hawa waheshimiwa first class wanawapataga wapi!!!!!!!!!
na mie nitafute mmoja
Majuu hospitali zote ni nzuri yani kuliko hata hotel za hapo bongo unazoita 5 star. na ukapuku wangu nilienda government hospital nikadhani niko hotelini. kila mtu ana room yake hakuna msongamano. Chakula, vinywaji as far as uko admitted hapo utapewa (kwa nchi zinazotoa matibabu bure, na hata kwa nchi za kulipia afya ndo utaratibu then utawekewa kwenye bill yako ya tiba, kwa bima mtajuana kibima bima). For me sikuona cha ajabu kwa Mange as ulaya/america kwa wenzetu waliondelea afya na elimu ni mambo ambayo walishafika mbali sana kiasi ambacho chumba alicholazwa mgonjwa ni zaidi ya hoteli kwa jinsi kilivyo standard.
Mamaaa seketulee ndio hadhii yangu na makofi kibaooi na matusiu ndio usisemee yaan mpaka namaliza kujifungua nipo hoi mara miaa
Mrembo by Nature thank you for this useful postMajuu hospitali zote ni nzuri yani kuliko hata hotel za hapo bongo unazoita 5 star. na ukapuku wangu nilienda government hospital nikadhani niko hotelini. kila mtu ana room yake hakuna msongamano. Chakula, vinywaji as far as uko admitted hapo utapewa (kwa nchi zinazotoa matibabu bure, na hata kwa nchi za kulipia afya ndo utaratibu then utawekewa kwenye bill yako ya tiba, kwa bima mtajuana kibima bima). For me sikuona cha ajabu kwa Mange as ulaya/america kwa wenzetu waliondelea afya na elimu ni mambo ambayo walishafika mbali sana kiasi ambacho chumba alicholazwa mgonjwa ni zaidi ya hoteli kwa jinsi kilivyo standard.
come get me napatikana all the time pm me.
usijali ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji... Heaven on Earth ataleta mrejesho chanya hapa so get ready.Tupo wengi ukimalizana na Heaven on Earth utuunganishe na sisi kwa waheshimiwa wenzio
Hahahahaaaaaaa
usijali ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji... Heaven on Earth ataleta mrejesho chanya hapa so get ready.
Mrembo by Nature thank you for this useful post