Majuu hospitali zote ni nzuri yani kuliko hata hotel za hapo bongo unazoita 5 star. na ukapuku wangu nilienda government hospital nikadhani niko hotelini. kila mtu ana room yake hakuna msongamano. Chakula, vinywaji as far as uko admitted hapo utapewa (kwa nchi zinazotoa matibabu bure, na hata kwa nchi za kulipia afya ndo utaratibu then utawekewa kwenye bill yako ya tiba, kwa bima mtajuana kibima bima). For me sikuona cha ajabu kwa Mange as ulaya/america kwa wenzetu waliondelea afya na elimu ni mambo ambayo walishafika mbali sana kiasi ambacho chumba alicholazwa mgonjwa ni zaidi ya hoteli kwa jinsi kilivyo standard.