Ongea habari ya Klyn na mzee machache ntakuelewa....kitu special kujifungulia ufaransa....sasa hapo hesabu gharama ya hotel, kula, kulala, gharama za matibabu as wao sio raia Wala wafanyakazi wa ufaransa then utaweka heshima kwa klyn. Ila mtoto wa watu amepoaaaaaa km Hayupo vile. Wengine Mungu ametunyima kwa makusudi yake manake huenda tungepewa ardhi hii tungeihamishia Huko sayari ya mars
Mamaaa seketulee ndio hadhii yangu na makofi kibaooi na matusiu ndio usisemee yaan mpaka namaliza kujifungua nipo hoi mara miaa
Hahaha yani Mange amejua kubrain wash watu..kale kakitu Kama Kaungo alikomlazia Keanu day 2 after kutoka hospo (apart from Kile kitanda cha duara -crib) nilikaona mahali bei Wala haikuzidi laki 3 ya tz...ila sasa watu walivyomuabudu na kuona Kama sijui ni nini....
Hivi assume mshahara wako ni dollar 10,000 as rates za Majuu si Kama za bongo hasa kwa watu wenye ujuzi na uzoefu wa kutosha wanaofanya kwenye kampuni kubwa utashindwa kununua crib na kale Kaungo ka mtoto?? Vitu vingine tunakuza.
Kama angekuwa wa high life angejifungua last week Leo yuko kiwandani kusimamia nguo? Klyn bwana Ndo alijua kuweka heshima wengine wote waigaji tu

Dear umenena. Anatumia nguvu Sana kujionyesha.
Klyn anachapa bakora tu kabaaaaaaaa.
Mwanamke hata two weeks bado eti nipo factory!
Factory yenyewe imechooooka....
K-lyn level nyingine bhna, halaf kimya kimya tu mambo yake
K-lyn level nyingine bhna, halaf kimya kimya tu mambo yake
Maisha yake ni ya kawaida sana kwa mtu yeyote anayeishi abroad mwenye walau kaajira rasmi ukiachana na wabeba box ambao lazima wajilipue vya haja....
Hivi Mbona mange hafananii na mtu aliyezaliwa kwenye hela Kama anavyodai?? Anaonekana kushoboka na mambo madogo madogo as if ameyaonea ukubwani na kuona wengine wote ni maskin yeye tu Ndo tajiri
Shangaa shouger lol..
Yaani amewakamata kweli wajinga wanaomwona amepatia maisha.
Mara mipicha kitandani na mkanga wake... aaagh too much kizee yule
Hehehehe shouger tukisema sana tutaambiwa ni wivu...kuna mahali watu wamegombana na kuchambana haswaaa kisa mtu kasema Mbona kawaida....weeee Moto wake hata fire walishindwa kuuzima
Nataka Niombe ushoga na klyn hata niwe nambebea pochi yake
teh teh teh nitamwambia aanze kudownload avatar kwanza.
Shouger ukaoge baharini..lol
Lol sijui amewalogea wapi fans wake.
Mi kuna siku nilikuwa nabishana na rafiki yangu eti anasema she is among top ladies hapa town mwenye good life la hatari...
I was like eeerh what?
Yaani nikamwona hata yeye hamnazo
hahaaaaa ila binamu me nimekaa miaka mi3 pale CBE sijaambulia hata messenger wa bunge lol!
Hahhhahahhhha aiseee inabidi na hili walipitishe kwenye katiba wallahi haiwezekani iwe kina Faraja Kota tu lolll
kwakweli hii si bure atii, ila bahati mbaya huku dodoma bahari ni vumbi tu.
Top life kivipi Wakati anazunguka na roba mjini hata Duka si angefungua ili awe walau na kituo...ashawahi pita picha hata ya nyumba yake? Nakumbuka Lynda aliwahi kuonesha pango lake...
Umasikini wangu hauwezi nifanya nishabikie upumbavu ambao hauna justification...aweke Mali anazomiliki ili tumuingize kwenye Forbes