Odama huvumi lakini umo

Mrembo by nature Sinta ana mimba ya nanii??? Duu leo umenimwagiaa mambo humuuu lol
 
Hahhhhhahhhha na ukijitahidi sanaa unanua kitengee hahahhha

hahahaha umeona eeeh shoga kakianza kusimama dede naenda kwa fundi selemala kukachongea kile kigari cha mataili matatu ajifunze kutembea kwisha habari
 
Hahahahahah below the poverty line....imeniuma sana anavyomshusha na kumdharau Sintah... Awaulize Akina mziray wanopumulia mashine sasa

Poor her! Mange anajiona sana yule as if yupo level za Kim k au Beyonce wakati ni kawaida mnooooo
 
Yaan kajifunguaa halaf keshaswampa kiwandanii muke ya Muzungu au???!!!
Hiv huyu mmewe ana kazii ganii? ?aje atuonyeshee na nyumba yake au wamepangaaa hahahhhhaaa
 
hahahaha umeona eeeh shoga kakianza kusimama dede naenda kwa fundi selemala kukachongea kile kigari cha mataili matatu ajifunze kutembea kwisha habari

Usijali utakuja kuchukua yangu dear
 
hahahaha umeona eeeh shoga kakianza kusimama dede naenda kwa fundi selemala kukachongea kile kigari cha mataili matatu ajifunze kutembea kwisha habari

Hahhhhahhhhhahhha aisee umenikumbusha mbalii tena hiyo pesa kwa seremala unaitoaa huku unalalamika upungiziwee
 
Yaan kajifunguaa halaf keshaswampa kiwandanii muke ya Muzungu au???!!!
Hiv huyu mmewe ana kazii ganii? ?aje atuonyeshee na nyumba yake au wamepangaaa hahahhhhaaa

Mwanamke kuchakarika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…