Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee na mwenye haiba ya upole bongo movie, Jennifer kyaka aka Odama mambo yake ni super ile mbaya, anaweza kuwa ndiye msanii pekee apa bongo movie anayeishi maisha expensive kuliko wasanii wenzie.licha ya kuendesha ndinga ya bei Kali , pia anamiliki mjengo wa maana na ni balaa tupu.sema yeye sio mpenda sifa kama wasanii wenzie.
Inasemekana yupo na mh. First class apa bongo ambaye ndiye aliyemfungulia kampuni ya filamu ya bei mbaya pamoja na kumnunulia vifaa vya kisasa kutoka majuu.
Achilia mbali kuwa na mh huyo ambaye ana mamlaka na pesa chafu kuliko Clement, hyo haijamfanya odama abweteke na kusubiria pesa za mh huyo , kwani demu anapiga kazi ile mbaya, hana mchezo na kazi yake hata kidogo, anajituma kama mtumwa licha ya kuwa na huyo mh ambaye ana pesa za kumtunza na kumlisha maisha yake yote.
Msanii huyo mrembo na mwenye mvuto na ambaye alibebwa na kubebeka inasemekana sasa ivi ana ujauzito mkubwa wa mh huyo.



naona wewe hujui kutofautisha ujauzito na kitambi cha bia za offer na nyamachoma

kwa taarifayake kile ni kitambi na sio ujauzito#
 
DSCN0755.JPG

Halaf una akili sana dah, nadhan apo umemaliza kila kit, bhas sawaa
 
naona wewe hujui kutofautisha ujauzito na kitambi cha bia za offer na nyamachoma

kwa taarifayake kile ni kitambi na sio ujauzito#

Hiii pole, alishawahi kukiri mwenyewe binamu, alisema ujauzito wake haumzuii kupiga kazi wala nini , instead ataendelea kama kawa, ata hii movie yake mpya alikuwa ana mimba tayari. Processed fact
 
yule anaishi maisha ya juu hata kabla ya kuolewa na mzungu...sema mzungu kayapandisha zaidi..
Huyo Mange nae tutamuona tu na yeyee si angemchambaa tu mpaka amchambe na ya kwaoo kwanza kabayaa kameokolewa kuolewa na mzungu tu
 
Back
Top Bottom