Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Hahhahahhahaha...akupishe kabisa aaikutie shombo mtoto wa watu
Anipishe anipishe mie. nishamtua naona habebeki kwa mbeleko wala kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahahhahaha...akupishe kabisa aaikutie shombo mtoto wa watu
ladykims nataka kujua mimba ya sintah ni ya nani?
wadada acheni wivu,hv hamuwezi kukubali mange kawazidi?mashauzi yanahitaji pesa na mange pesa anayo,mnashadadia kamchamba sinta,uyo sinta mbona pia huwa anamchamba mange hamsemi?kunya anye kuku akinya bata kaharisha.em achen wiVu wa kijinga wanawake,kubalini tu kawazidi. na kati yenu najua sinta yupo.ACHENI WIVU WANAWAKE LO!Mmetujazia thread kisa wivu
mrembo by nature, unanifanya niamin ww ni sinta 4 sure.coz ulivyoshadadia! kama huna wivu mbona mapovu yanakutoka ka umemeza arial we na wapambe wako wa3? ni kwa sababu sinta kachambwa au kuna lingine? narudia tena Mashauzi yanahitaji pesa.iga ufe.
aaaaaahaaaaaa full mawivu alafu anachojua yeye tu ni matusi poor kid daah wazazi wake wana hasara kubwa
Sinta nimekutana nae hosp ya lugalo pale mwenge mwezi uliopita,mbona hakuwa na dalili za mimba hata tumbo la kawaida tu labda kama hyo mimba imekimbilia kwenye makalio maana ndo niliona yamebinuka
Eti maahauzi yanataka pesa. Kwa pesa zipi hizo alizonazo huyo mtu wako. Angekua na pesa asingehangaika na mafundi siku chache tu baada ya kuzaa. Kujitia ustrong woman wakati siyo hana namna lazima achakarike..
Hahhhahhahahhhahaha...
aaaaahaaaaa anaetokwa na povu mimi au wewe unae tukana mi sinamda wa matusi my dear sijalelewa ivyo..pole wewe ulolelewa kwa matusi uwo ni mfano tosha wa malezi yako..eti ushahidi wa keybord aaaaahaaaaa utakalia ivyo ivyo kutukana watu ndio kipaji chako...im a gemstone dealer utake usitake huwo ndio ukweli wenyewe kama unataka kazi sema ya ku grade mawe nafasi zipo..kuliko hii kazi ya kutukana
Yani hawa inzi hawajui hata vya kusifia, hii inanipa picha kuwa wengi wao ni ile class ya wachimba chumvi huko uvinza walioletwa mjini kipindi cha kuapply vyuo
Nakuquote kwa kuonesha msisitizo. Hata nikiwa sintah kwani kuna ubaya gani? Sintah si ni binadamu kama ulivyo wewe? au wewe waonaje? Niige kitu gani pale? kubrag au... shoga sijaona cha kuiga pale, may be wewe wa sichimbi ambae hujawahi viona ndo unaona kuna cha kuiga. By the way unaenda lini kupokea nyapu nyapu mlizogawiwa? na hivi kule chanika mnaenda lini kurenew? ujue mda si mrefu vitapungua nguvu fanyeni muwahi kabla havija expire
Ovyoooooooooooooooooooo..........
acheni wivu wanawake we mwanaume mxiuuuuuuuuu
umeona eee?ukitaka kuamini angalia koment zote toka
mwanzo ni watu wa4 wakimsema mange.kweli mange anawanyima usingizi,wafungue na wao blog wajishaue kama hawataki wamuache mange miaka 8000 na mashauz yake.
Hahahahhaahhahaa....tunawnda kuvichoma motoooooo huko chanika...
Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiii
hahhaaaa pozi la chanika... nicheke mie as long as mdomo hatulipii vat
Hahahahhaahhahaa....tunawnda kuvichoma motoooooo huko chanika...
Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiii
atunyime usingizi OMG!!!!!!1 if u have nothing to say u better shut ur BIG MOUTH
nitaingia ninavyotaka na nitatoka ni navyotaka.. kama wewe mlango uloingilia ndio utakao tokea... we kama unataka kutukana tukana tu si ndio urithi wenuwe nae kama huna muda na matusi kiichokuleta humu nini!!!!!!!!!!!!
mlango ulioingilia ndio tokea huo huo... utuwache sie. Khaa
Wacha niongeze mxiuuuuuuuuuuuuuuuuu
Yani hawa inzi hawajui hata vya kusifia, hii inanipa picha kuwa wengi wao ni ile class ya wachimba chumvi huko uvinza walioletwa mjini kipindi cha kuapply vyuo
nitaingia ninavyotaka na nitatoka ni navyotaka.. kama wewe mlango uloingilia ndio utakao tokea... we kama unataka kutukana tukana tu si ndio urithi wenu