Odds za yanga vs sundowns. ni 9 odds to 1

Odds hazichezi mpira, ingekuwa zinacheza mpira basi Yanga ingeshinda mechi ya Dar ilipopewa odds 1.40 na makapuni ya kubeti. Atakayejipanga vizuri kesho ndio watakaopata matokeo na kufuzu.

Watu wa kubet watakuwa na uzoefu mkubwa na reference za timu zilizoprwa odds mlima lakini zimeshinda. Na timu zilizopewa odds kiduchu 1.12 lakini zikafungwa
 
Acha uongo,Yanga alipewa 2.40 sio 1.40
 
kama unajua kutabili matokeo ya yanga πŸ˜‚πŸ˜‚. weka yanga win na mshahara wako. upate wa 9months .
weka nyumba 1 upate nyumba 9.



Acheni siasa za mpira, walk the talk.

View attachment 2953977
Wanataka Kusema chances za Kushinda Yanga ni Ngumu sana kuliko chances alizonazo Simba kushinda..

Na Mamelody na Yanga Ni Vigumu kutoa Draw kuliko Simba na Al ahly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…