Odds za yanga vs sundowns. ni 9 odds to 1

Odds za yanga vs sundowns. ni 9 odds to 1

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
kama unajua kutabili matokeo ya yanga 😂😂. weka yanga win na mshahara wako. upate wa 9months .
weka nyumba 1 upate nyumba 9.

Acheni siasa za mpira, walk the talk.

1712255723878.png
 
Odds hazichezi mpira, ingekuwa zinacheza mpira basi Yanga ingeshinda mechi ya Dar ilipopewa odds 1.40 na makapuni ya kubeti. Atakayejipanga vizuri kesho ndio watakaopata matokeo na kufuzu.

Watu wa kubet watakuwa na uzoefu mkubwa na reference za timu zilizoprwa odds mlima lakini zimeshinda. Na timu zilizopewa odds kiduchu 1.12 lakini zikafungwa
 
Odds hazichezi mpira, ingekuwa zinacheza mpira basi Yanga ingeshinda mechi ya Dar ilipopewa odds 1.40 na makapuni ya kubeti. Atakayejipanga vizuri kesho ndio watakaopata matokeo na kufuzu.

Watu wa kubet watakuwa na uzoefu mkubwa na reference za timu zilizoprwa odds mlima lakini zimeshinda. Na timu zilizopewa odds kiduchu 0.12 lakini zikafungwa
Acha uongo,Yanga alipewa 2.40 sio 1.40
 
kama unajua kutabili matokeo ya yanga 😂😂. weka yanga win na mshahara wako. upate wa 9months .
weka nyumba 1 upate nyumba 9.

Acheni siasa za mpira, walk the talk.

View attachment 2953977
Wanataka Kusema chances za Kushinda Yanga ni Ngumu sana kuliko chances alizonazo Simba kushinda..

Na Mamelody na Yanga Ni Vigumu kutoa Draw kuliko Simba na Al ahly
 
Back
Top Bottom