Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Mwanachama na aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA, Odero Charles Odero amesema ile kura moja aliyoipata katika uchaguzi huo ni ya mpiga kura sio yake. Kwa maana hiyo hata yeye mwenyewe alishindwa kujipigia kura
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Odero alitangaza kusudio lake la kuomba kuteuliwa kugombea Uenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania na kukabiliana na ushindani mkubwa kutoka kwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Tundu Lissu aliyeshinda.