Zipapa zipapa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 409
- 118
Asubiri 2022 apambane na Ruto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeileta hiyo picha ya uongo kuhusu kuapishwa kwake rais Kenyatta ni mtz Bowie ila hamna presha. Naona Asprin (shukran jombaa) amefikia picha za kweli za siku ya kuapishwa kwa rais U.K kabla yangu. Tafadhali save hizo picha, zisije zikafanya tulumbane bure siku nyingine my dear, sawa? 🙂🙂🙂Hivi mbona huipati kwamba ni nyie wenyewe ndiyo mlioileta humu?
Hii ni kazi ya mikono yenu, ungesema tu hiyo picha si kweli ni ya Jamhuri Day!
Trust me it’s that simple my dear!
Kuliko kuja na mineno ya ajabu ajabu!
Never speculate!
Sawa ndugu Yangu!
Propaganda my foot
Hiyo si mliposti wenyewe
Dadeki!
Jpm anaweza kuwa anamshauri ujinga Wa kijinga alijiapisha kaona msema kimya anaendelea kuleta nyokonyokoYeye si ndo rais?
Sitaki kuonekana kana kwamba nina chuki ila kwa vitendo vya Raila vya hivi karibuni. Nimeanza kushuku kwamba ni kweli wanavosema wengi, kwamba ule ugonjwa wa uzeeni, wa akili, yaani dementia, umeanza kubisha hodi kwa mzee RAO.RAO ni shida
mwulize rafiki yake magufuliHivi ni "MCHAWI" gani huyo na yuko wapi aliyemvuruga huyo baba akili yake?
HahahahaSitaki kuonekana kana kwamba nina chuki ila kwa vitendo vya Raila vya hivi karibuni. Nimeanza kushuku kwamba ni kweli wanavosema wengi, kwamba ule ugonjwa wa uzeeni, wa akili, yaani dementia, umeanza kubisha hodi kwa mzee RAO.
Kwa mwendo huu lazima urafiki ufe tumwulize rafiki yake magufuli
Kuwa mkweli sistah afu ueke wasiwasi wowote ule kando. Kisha uniambie kama nachosema kinanukia ukweli hata kama ni kwa umbali kama udi! ???Hahahaha
Haki ya Mola wangu walahi
Not true. The photos present different views. Consequently, the reality is misconfigured.That photo tells you the story of desperation in some quotas to present Odinga as more popular