Odinga ataka uchaguzi mwingine tena Agosti mwaka huu

Ukistaajabu ya Raila utayaona ya mwalimu seif...tukiwaambia waafrika bado wamo katika evolution muwe mnaelewa.
 
Hivi mbona huipati kwamba ni nyie wenyewe ndiyo mlioileta humu?
Hii ni kazi ya mikono yenu, ungesema tu hiyo picha si kweli ni ya Jamhuri Day!
Trust me it’s that simple my dear!
Kuliko kuja na mineno ya ajabu ajabu!
Never speculate!
Aliyeileta hiyo picha ya uongo kuhusu kuapishwa kwake rais Kenyatta ni mtz Bowie ila hamna presha. Naona Asprin (shukran jombaa) amefikia picha za kweli za siku ya kuapishwa kwa rais U.K kabla yangu. Tafadhali save hizo picha, zisije zikafanya tulumbane bure siku nyingine my dear, sawa? 🙂🙂🙂
 
Sawa ndugu Yangu!
 
Propaganda my foot
Hiyo si mliposti wenyewe
Dadeki!

Uhuru was inaugurated in a FULL stadium. You just need to Google the pictures and videos.
Nasa propaganda machinery imekuwa ikisambaza picha za event tofauti ya Uhuru na kuweka side by side na 'swearing in' ya Raila, ili ionekane kwamba Raila ana wafuasi zaidi.
 
Aliyeileta hiyo picha ya uongo kuhusu kuapishwa kwake rais Kenyatta ni mtz Bowie ila hamna presha. Naona Asprin (shukran jombaa) amefikia picha za kweli za siku ya kuapishwa kwa rais U.K kabla yangu. Tafadhali save hizo picha, zisije zikafanya tulumbane bure siku nyingine my dear, sawa? 🙂🙂🙂

Haya mambo ya kujaza umati kwenye viwanja ni desturi ya pande zote mbili, ila suala kuu huwa kwenye siku ya kupiga kura

xqxczwx5ju0uvo5985e49d7eaae.jpg

UHURU-RUTO-UHURU-PARK.jpg
 
RAO ni shida
Sitaki kuonekana kana kwamba nina chuki ila kwa vitendo vya Raila vya hivi karibuni. Nimeanza kushuku kwamba ni kweli wanavosema wengi, kwamba ule ugonjwa wa uzeeni, wa akili, yaani dementia, umeanza kubisha hodi kwa mzee RAO.
 
Hahahaha
Haki ya Mola wangu walahi
 
Hahahaha
Haki ya Mola wangu walahi
Kuwa mkweli sistah afu ueke wasiwasi wowote ule kando. Kisha uniambie kama nachosema kinanukia ukweli hata kama ni kwa umbali kama udi! ???
 
That photo tells you the story of desperation in some quotas to present Odinga as more popular
Not true. The photos present different views. Consequently, the reality is misconfigured.
 
Back
Top Bottom