Odinga atangaza maandamano ya kishindo ya kuwang'oa majaji wa mahakama kuu asema mahakama ilifanya ujambazi na ujinga

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar

Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga

Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa majaji kwani ni haki yao
IMG_20220915_154800.jpg

IMG_20220915_163045.jpg

IMG_20220915_163111.jpg
 
Mzee haamini kwamba imekuwa rahisi kwa Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Baba kwenda ikulu.....
 
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar

Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga

Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa majaji kwani ni haki yao
View attachment 2357918
View attachment 2357917
View attachment 2357916
unaweza ukamuita odonga , mzee wa kitendawili au Maalim seif wa kenyaaaaaaa...😁😁😁😁
 
Kabla hajaanza hayo maandamano ajiulize kwanza ni roho gani iko upande wa Ruto na ni roho gani iko upande wake yasije kumpata yaliyowapata Amaleki

KUTOKA 17: 13-16
13 Yoshua akawaangamiza Amaleki na watu wake kwa ukali wa upanga.
14 Bwana akamwambia Musa, Andika habari hii katika kitabu iwe ukumbusho, kisha ihubiri masikioni mwa Yoshua; ya kuwa nitaufuta ukumbusho wa Amaleki kabisa, usiwe tena chini ya mbingu.
15 Musa akajenga madhabahu, akaiita jina lake Yehova-nisi;
16 akasema, Bwana ameapa; Bwana atakuwa na vita na Amaleki kizazi baada ya kizazi.
 
Odinga pia apitie videos kule YouTube ,Tigray,Ethiopia!!!
I swear wametegewa na Ruto na wafwasi wake sana!😅lazima wale teargas kila kona ya nchi walimojificha!
 
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar

Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga

Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa majaji kwani ni haki y
 
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar

Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga

Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa majaji kwani ni haki yao
View attachment 2357918
View attachment 2357917
View attachment 2357916Mzee amekula maharage ya Zanzibar!! Kinachoongea ni maharage!! Mahahage yakiisha tumboni atatulia!!
 
Aliy

Aliyekuwa ana uwezo huo ni Moi,akikaa kituoni masaa mawili Kenya inawaka moto,labda Ruto ajitoe ufahamu.
Ruto anataka kufuata nyayo za Magufuli...

JPM alipowanyamazisha upinzani katika operesheni ya UKUTA ndiyo ikawa nyolee

Ruto anaweza pita mule mule
 
Back
Top Bottom