Odinga atangaza maandamano ya kishindo ya kuwang'oa majaji wa mahakama kuu asema mahakama ilifanya ujambazi na ujinga

Ruto kashaapa na uhuru jamaako alikuwepo mzee kubali tu yaishee
 
Mwenzako kashindwa uchaguzi kaenda Zanzibar kucheza na Kobe wewe mwananchi wa kawaida unaingia barabarani kuandamana unachezea Rungu za kutosha😁
 
Niliandika humu kuwa utulivu wa Kenya unamtegemea sana huyu mzee.
Akiwatulizaga watu wake hawafanyi lolote
Na Ruto, akifanya makosa, ya kumpuuza kabisa , na akashindwa kukidhi mategemeo ya wakenya waliyonayo kwake, ataongoza nchi kwa shida sana!!bora kenyata alijionea mbali, ili amalize muda wake vizuri ni bora uzungumze naye na akafanikiwa.Kwani ukweli utabakia pale pale kuwa Odinga ana wafuasi wenhi sana.
 
Mzee Odinga alishasema ataheshimu uamuzi wa mahakama japo hakubaliani nao....ina maana kabadili kauli?
MK254
 
Hili la siasa na dini ndilo analolalamikiwa Rutto,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Sasa kwa nini alianguka kwenye uchaguzi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…