- Thread starter
- #21
Unachokiota halitatokea chini ya serikali imara ya CCM. Kama unaona rahisi jaribu ku-organize maandamani uone kitakachokukuta. Huu ushujaa wa kuandika mitandaoni hata mtoto wa darasa la tatu anaweza.
Itunze post yako hiyo kwa matumizi ya baadaye.