Oeni Wanawake wacha Mungu. Msifanye kosa kabisa

Sifa ya kwanza ya Mwanamke mcha MUNGU, ni lazima kwanza awe Bikira. Mfano ni Mariam, Mama yake MESSIAH, yeye alikuwa na mchumba wake lakini kutokana na ucha MUNGU wake hakushiriki tendo na mchumba wake kabla ya ndoa.
Swali la kujiuliza, hao Wanawake wacha MUNGU wenye sifa kama za Mariam Mama wa Messiah wapo karne hii ya 21?
 
Kwa hiyo ucha Mungu ni kile tunacho decipher na macho yetu?
Mkuu, Leo tuishie hapa... Wanaume ambao hawajaoa, waoe wanawake wacha Mungu.

Sisi wanaume tunajua wapi wanapatikana ,na utawatambuaje.


Hili lako , ngoja kuna siku nitafungua uzi nilifafanue kwa uzuri.
 
Jiulize Mara ya mwisho ni Lini, mkeo aliwabeba watoto wako na kuwapeleka kanisan ?
 
Mara ya mwisho lin watoto wako wakusimulie kisa cha kiungu chenye kufundisha?.


Tehee teheeee... Et anayesimamia wanao ni mbovu wa uvaaji na ulaaji na unywaji..

Alafu unategemea, Watoto wawe na nidhamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je wewe unaenda kanisani na hiyo hofu ya Mungu unayoiongelea hapa unayo?Maana usikute unataka vigezo vingi kwa mwanamke wa kuoa alafu wewe huna hata kimoja unachoendana nacho.
 
Mkuu imekuaje tena?leo unatoa ushauri huu!!hebu rewind kwanza tujue shida iko wapi?
 
Hapo kwenye uvivu ni dhambi umegonga penyewe
 
Mkuu mbona hao wacha Mungu wengi ndoa zimewashinda?!!tena wengine ni maarufu sana kwenye jamii yetu,
 

Leo umeongea point baby
Ungekuwa karibu ningekupa yote[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…