Oeni Wanawake wacha Mungu. Msifanye kosa kabisa

Oeni Wanawake wacha Mungu. Msifanye kosa kabisa

Sifa ya kwanza ya Mwanamke mcha MUNGU, ni lazima kwanza awe Bikira. Mfano ni Mariam, Mama yake MESSIAH, yeye alikuwa na mchumba wake lakini kutokana na ucha MUNGU wake hakushiriki tendo na mchumba wake kabla ya ndoa.
Swali la kujiuliza, hao Wanawake wacha MUNGU wenye sifa kama za Mariam Mama wa Messiah wapo karne hii ya 21?
 
Kwa hiyo ucha Mungu ni kile tunacho decipher na macho yetu?
Mkuu, Leo tuishie hapa... Wanaume ambao hawajaoa, waoe wanawake wacha Mungu.

Sisi wanaume tunajua wapi wanapatikana ,na utawatambuaje.

Hili lako , ngoja kuna siku nitafungua uzi nilifafanue kwa uzuri.
 
Jiulize Mara ya mwisho ni Lini, mkeo aliwabeba watoto wako na kuwapeleka kanisan ?
 
Mara ya mwisho lin watoto wako wakusimulie kisa cha kiungu chenye kufundisha?.

Tehee teheeee... Et anayesimamia wanao ni mbovu wa uvaaji na ulaaji na unywaji..

Alafu unategemea, Watoto wawe na nidhamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je wewe unaenda kanisani na hiyo hofu ya Mungu unayoiongelea hapa unayo?Maana usikute unataka vigezo vingi kwa mwanamke wa kuoa alafu wewe huna hata kimoja unachoendana nacho.
 
Hakikisha sana Unaoa Mwanamke Mcha Mungu

Mwanamke ambaye Ataibarikisha familia yako

Atakuombea na kusali pamoja

Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi,, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi , kuvaa nusu uchi dhambiiii...... Kwan wakuu mifano simnayo ??

OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU..
Mkuu imekuaje tena?leo unatoa ushauri huu!!hebu rewind kwanza tujue shida iko wapi?
 
Hakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja

Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi, kuvaa nusu uchi dhambiiii. Kwani wakuu mifano simnayo?

OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU
Hapo kwenye uvivu ni dhambi umegonga penyewe
 
Hakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja

Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi, kuvaa nusu uchi dhambiiii. Kwani wakuu mifano simnayo?

OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU
Mkuu mbona hao wacha Mungu wengi ndoa zimewashinda?!!tena wengine ni maarufu sana kwenye jamii yetu,
 
Hakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja

Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi, kuvaa nusu uchi dhambiiii. Kwani wakuu mifano simnayo?

OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU

Leo umeongea point baby
Ungekuwa karibu ningekupa yote[emoji4]
 
Back
Top Bottom