Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Kwa hiyo ucha Mungu ni kile tunacho decipher na macho yetu?Hakika macho yanapoona matendo/mwonekano wako ..hutoa picha yako halisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ucha Mungu ni kile tunacho decipher na macho yetu?Hakika macho yanapoona matendo/mwonekano wako ..hutoa picha yako halisi.
HakikaHakikisha sana Unaoa Mwanamke Mcha Mungu
Mwanamke ambaye Ataibarikisha familia yako
Atakuombea na kusali pamoja
Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili
OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU..
Hakika mungu atujaalie maana wanawake kwa sasa duuhMkuu , Muigizaji maisha yake ya uhalisia ni sawa na maisha ya Nzi.
Mkuu, Leo tuishie hapa... Wanaume ambao hawajaoa, waoe wanawake wacha Mungu.Kwa hiyo ucha Mungu ni kile tunacho decipher na macho yetu?
NB. Kama anaimba kwaya usioe, utanikumbuka baadaeHakikisha sana Unaoa Mwanamke Mcha Mungu
Mwanamke ambaye Ataibarikisha familia yako
Atakuombea na kusali pamoja
Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili
OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU..
Je wewe unaenda kanisani na hiyo hofu ya Mungu unayoiongelea hapa unayo?Maana usikute unataka vigezo vingi kwa mwanamke wa kuoa alafu wewe huna hata kimoja unachoendana nacho.Mara ya mwisho lin watoto wako wakusimulie kisa cha kiungu chenye kufundisha?.
Tehee teheeee... Et anayesimamia wanao ni mbovu wa uvaaji na ulaaji na unywaji..
Alafu unategemea, Watoto wawe na nidhamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MmhNa yule mchamungu mke wa mtu uliyemla kule uzi wa kimasihara vipi?
Anza Kumcha Mungu bwasheee.Je wewe unaenda kanisani na hiyo hofu ya Mungu unayoiongelea hapa unayo?Maana usikute unataka vigezo vingi kwa mwanamke wa kuoa alafu wewe huna hata kimoja unachoendana nacho.
Mkuu imekuaje tena?leo unatoa ushauri huu!!hebu rewind kwanza tujue shida iko wapi?Hakikisha sana Unaoa Mwanamke Mcha Mungu
Mwanamke ambaye Ataibarikisha familia yako
Atakuombea na kusali pamoja
Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi,, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi , kuvaa nusu uchi dhambiiii...... Kwan wakuu mifano simnayo ??
OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU..
Mnywa biaMwanamke awe mcha Mungu na Mwanaume awe ....
Hata hili la uchamungu nalo liwe 50/50 ?
Lazima iwe 50 kwa 50 au 60 kwa 40,Hata hili la uchamungu nalo liwe 50/50 ?
Hapo kwenye uvivu ni dhambi umegonga penyeweHakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja
Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi, kuvaa nusu uchi dhambiiii. Kwani wakuu mifano simnayo?
OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU
Mkuu mbona hao wacha Mungu wengi ndoa zimewashinda?!!tena wengine ni maarufu sana kwenye jamii yetu,Hakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja
Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi, kuvaa nusu uchi dhambiiii. Kwani wakuu mifano simnayo?
OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU
Hakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja