Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
Ukishaaza kuitikia ivyo soon unakuwa mmbeyaAisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishaaza kuitikia ivyo soon unakuwa mmbeyaAisee
😂😂😂 we kijana ujue nakulisha wewKijana mchovu huyu ataenda kukununulia maji makubwa tu[emoji23]
Jamaa anajaribu na bora umemkanya mapema anaweza fanikisha Kukuudhi,,,ukaharibu swaumu,,,na Autini Yako ya Wavuvi kempu!!!Nitakutukana ujue nitolee uchoro wako ase
Ukuje chap sanaHAa haaa haa usijal mkiuu
Ndo wapi kwanza[emoji23]Ahahah kwahiyo unataka kuja wavuvi
Niko hapa magomeni nipitie best😂😂😂jiandae chap nakupitia na gar imejaaa full tank
NB gari ya watu tukiangusha gari tunasaidiana kulipa
Yaani nitakuja kumuanzishia uzi huku mbona 😅Kijana mchovu huyu ataenda kukununulia maji makubwa tu[emoji23]
o siri mkuu huyu kivurugeJamaa anajaribu na bora umemkanya mapema anaweza fanikisha Kukuudhi,,,ukaharibu swaumu,,,na Autini Yako ya Wavuvi kempu!!!
Usije utapotea kule kwaza utasahau na njia ya kwnu 😂😂😂Ndo wapi kwanza[emoji23]
😂😂😂 ngoja nile muhimu uwe umeshiba tu ugali na mrendaNiko hapa magomeni nipitie best
Hahaa tukiangusha tunaitelekeza
Mi niko mbeya huku [emoji23]Usije utapotea kule kwaza utasahau na njia ya kwnu [emoji23][emoji23][emoji23]
Si nitaibika mimi last born😂Yaani nitakuja kumuanzishia uzi huku mbona 😅
enda soweto ukatembee kidogoMi niko mbeya huku [emoji23]
Tunazururaga si unajua wanachuo[emoji23]N
enda soweto ukatembee kidogo
Why mabint wakati kuna majaa maazetu hapa hawana hela ya kula Binadamu Mtakatifu na Gily kila siku wanashindia uji wa ugalijuzi niliwatumia mabinti 5 wa yanga afu 10 kuwapooza machungu ya kufungwa hapahapa jf
Nawajua hapo mwanjelwa yote umeimaliza ukija mwakani niambie nikupeleke kwenye nyumba ya bab yetu pale mbalizi ukawe menejaTunazururaga si unajua wanachuo[emoji23]
mabinti walinigusa zaidi kwa wakati huo nduguWhy mabint wakati kuna majaa maazetu hapa hawana hela ya kula Binadamu Mtakatifu na Gily kila siku wanashindia uji wa ugali
Aisee nenda 😅Kijana atakua kaokota hela leo si bure 😂
Sijui niende kupata ofa, maana nina kiuu
Wacha niende kuenjoy na venye long weekend ishaanzaAisee nenda 😅