Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Au kijana bora sisi tunashindia uji ila mida ya wanga tunatembeza vyupa vya kibabe HennessyWhy mabint wakati kuna majaa maazetu hapa hawana hela ya kula Binadamu Mtakatifu na Gily kila siku wanashindia uji wa ugali
Hana ubro umemzidi 1yr chura huyo anavimbisha komeoBro kumbe upo vizuri[emoji23]
Ahahahha ivi ujue Gily ni meneja wa tazara why asikupe mchongo sema uyi mchaga ana roho mbayaAu kijana bora sisi tunashindia uji ila mida ya wanga tunatembeza vyupa vya kibabe Hennessy
Wewe mwenye afadhali unakula wali na dagaa wa kigoma usiku uko kilabuni unachoma maini nan wa kusaidiwa?
Anyway mm nikisaidiwa kazi inatosha
Hahaha tatizo mm sina muda mwingi wa kufanya vitu physically bado nachukua elimu ila mzee maisha yanakaba mpaka unaona hii elimu itasaidia kweliAhahahha ivi ujue Gily ni meneja wa tazara why asikupe mchongo sema uyi mchaga ana roho mbaya
Kazi kujichua tu[emoji23]Hana ubro umemzidi 1yr chura huyo anavimbisha komeo
Yan huyo akipitisha kono kwenye boksa dude linatoa machozi anakabansanaKazi kujichua tu[emoji23]
Long weekend? Kesho hakuna kazi?Wacha niende kuenjoy na venye long weekend ishaanza
Nishaaza kupiga vitu mbona 😂😂😂 hapa nipo glass ya pili ya serenget wineJohnnie Walker kabla ya kulewa ninunulie salio ili niwajulishe ndugu zangu
kweli fwala unatakiwa uchapwe weweYan huyo akipitisha kono kwenye boksa dude linatoa machozi anakabansana
Hebu tuma picha kwanza la vibeWw
kweli fwala unatakiwa uchapwe wewe
Ww njoo kabla simu haijazima chajiHebu tuma picha kwanza la vibe
Yes jamaa zako wametupa offer, so mwezi hata usipoandama leo kesho ni off🤗Long weekend? Kesho hakuna kazi?
Nahisi wamejichanganya jamaa zangu hao😅Yes jamaa zako wametupa offer, so mwezi hata mwezi usipoandama leo kesho ni off🤗
Yaani wamekua wema hadi nimewapenda 🤣🤣Nahisi wamejichanganya jamaa zangu hao😅
Kuna bodaboda hesabu elfu 8😀😀😀Au kijana bora sisi tunashindia uji ila mida ya wanga tunatembeza vyupa vya kibabe Hennessy
Wewe mwenye afadhali unakula wali na dagaa wa kigoma usiku uko kilabuni unachoma maini nan wa kusaidiwa?
Anyway mm nikisaidiwa kazi inatosha
Huku hawana habari kabisa😅Yaani wamekua wema hadi nimewapenda 🤣🤣
Hahaah naona hutaki niishi kabisa bora nifie kifuani sio uvunguni mwa roliKuna bodaboda hesabu elfu 8😀😀😀
Hata wenyewe watapiga kazi kama kawa, wazee wa kazi hao😅Huku hawana habari kabisa😅
Usihofu nitakupa location safi kabisa!Hata wenyewe watapiga kazi kama kawa, wazee wa kazi hao😅
Nitafutie pa kwenda basi kesho jioni