[emoji23][emoji23][emoji23]Mie nasikia mtaani Demiss na Kalumanzila wameachana na wenyewe kuthibitisha hivyo lakini hadi hii leo sababu rasmi ya kuachana hatuijui! Je, tatizo kati ya hawa 2 lovebirds ni lipi? [emoji15]
Kama hiyo picha ya "profile" ni yako au unakaribia kufanana nayo, midomo yake inaonesha jinsi ulivyo - Mpenda watu na mama mlezi mzuri.Haya jaman wapendwa leo kuna vocha ya elf 5000 kwa yeyote atakayecomment kuhusu Demiss na hiyo comment ikavunja rekodi ya like nyingi.
Ongea chochote kuhusu Mimi hapa kadri uwezavyo na ujisikiavyo ili mradi kusiwe na matusii hiii ni offer ya kufungia mwakaa .
Location: MUJOS PUB CHANIKA.
Siku hizi umehama Mkoa kabisa nini?Napunguza mawazo dada
Hela zinatoka wapiii wakati sponsor kaachia ngaziNapunguza mawazo dada
Sawa sawa!Nipo likizo kaka narud tu soon
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakumiss my ex[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Shost yataka moyo maana wajua hawa watan zangu hawaishi kuniponda lazima uwe na moyo wa uvumilivu[emoji23][emoji23][emoji23]