Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23][emoji23][emoji23]Mie nasikia mtaani Demiss na Kalumanzila wameachana na wenyewe kuthibitisha hivyo lakini hadi hii leo sababu rasmi ya kuachana hatuijui! Je, tatizo kati ya hawa 2 lovebirds ni lipi? [emoji15]