Official mange account on Jf

Official mange account on Jf

ngoja nikuambie kitu mkuu yul mange ubabe wote kwa mastaa sasa mm bakïgraundi yangu iko poa ... atatafuta nn ..... halafu huku jf . ndo maana tukaficha id hatu angalii jina bali iQ
you are right mkuu
 
Huyu licha ya kuchimbwa kamkwara kadogo na yule jamaa wa DSM pale bado anaendelea kuonyesha ukomandoo wake.
kama vipi hebu afungue account hapa Jf halafu yale mambo yake ayalete huku ili tumpime kama kweli ligi lake ni la mchangani au uwanja wa nyasi.
alete hoja huku kwa mtindo ule ule na jina lile lile ili watu wampime kidogo uweze kujibu mashambulizi ya karibu.
yani Jf wampe hata kaofa kakukaa humu kwa wiki moja tu.
ila kumbuka aje na mbinu zile zile na hoja zile zile za kule.
that "girl" might be a whore of some sort but she's quite smart. a lot smarter than the so many self acclaimed GTs on this forum

she's educated, she was once upon a time a wife to a well educated mzungu hubby, she's extensively travelled across the planet, she's intelligent, she's well connected (Magogoni has not been spared), the list is long.

mchukulieni poa huyu binti at your own peril!
 
sipo huko FB mie na mimi sidhani kama nitalumbana nae
hapa shem si unaona hata watu wakinichokoza nanyamaza tu, I always choose the battle to fight
teh teh
Sawasawa baby shem..nakuelewa
 
Back
Top Bottom