Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shem jichanganye kidogo tu utaonahahahahahahahahah ama kweli huyu jamaa/binti mnamuogopa eeeeh
sometimes nashangaa sana watu wanavyomgwaya huyu mwana dada
personnally I don't
you are right mkuungoja nikuambie kitu mkuu yul mange ubabe wote kwa mastaa sasa mm bakïgraundi yangu iko poa ... atatafuta nn ..... halafu huku jf . ndo maana tukaficha id hatu angalii jina bali iQ
ndioo ila usimchokoze ana mtandao wa taarifa mkubwa sanaSio kweli anategemea kuletewa harafu anaposti bila hatakuthibitisha
sawaAcha uwoga. Ni mpk uwe umejistukia expose sana kwa watu ndio na yeye anaweza ku dig in about you. Sio kila mtu
kwelikweli mkuukwa Jf atakuwa akiulizwa na kujibiwa live,itakuwa sehemu nzuri sana kwake kumpima.
na kama anajua siri basi itajulikana ukweli wake upo wapi ?
siamini ila sio wa mchezomchezo yuleWewe unaamini anajua kila kitu Chako,so ukijibizana naye atakuweka uchi??
Hakuna kbsa, simuogopi mmshem jichanganye kidogo tu utaona
i wish nikuone siku moja ukilumbana naeHakuna kbsa, simuogopi mm
AhahahahahaMkuu unamjua Mange unamsikia? unataka siri zako zote tusizozifahamu ziwe hadharani?
that "girl" might be a whore of some sort but she's quite smart. a lot smarter than the so many self acclaimed GTs on this forumHuyu licha ya kuchimbwa kamkwara kadogo na yule jamaa wa DSM pale bado anaendelea kuonyesha ukomandoo wake.
kama vipi hebu afungue account hapa Jf halafu yale mambo yake ayalete huku ili tumpime kama kweli ligi lake ni la mchangani au uwanja wa nyasi.
alete hoja huku kwa mtindo ule ule na jina lile lile ili watu wampime kidogo uweze kujibu mashambulizi ya karibu.
yani Jf wampe hata kaofa kakukaa humu kwa wiki moja tu.
ila kumbuka aje na mbinu zile zile na hoja zile zile za kule.
sipo huko FB mie na mimi sidhani kama nitalumbana naei wish nikuone siku moja ukilumbana nae
Sawasawa baby shem..nakuelewasipo huko FB mie na mimi sidhani kama nitalumbana nae
hapa shem si unaona hata watu wakinichokoza nanyamaza tu, I always choose the battle to fight
teh teh
Asante baby shem wangu loooohSawasawa baby shem..nakuelewa
Looh!!!Asante baby shem wangu looooh
Huoni kuishi humu kwa kuhofia ban nisawa na mfungwa?aisee kule insta watu hatumfuati tunahofia kumaliza mb zetu aje jf .....alete mambo yake ya unoko hahaha hamalizi wiki ban anayo mkuu
mimi najua verified account MangeKimambiMbona yupo humu kitaaaambo anatumia ID ya Gentamycine