Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Mkuu, unasema Madrid apige penetration pass? Barca alichemka hapo kwa hiyo style, tena Barca akiwa na manguli wa kudribble akina Messi na Neymar na hawakufua dafu.
Njia pekee ya kumuokoa Madrid ni Counter, PERIOD. Labda yatokee makosa madogo madogo ya hapa na pale yatakayofanywa na Juve ila sio kwa kupiga pass za kupenyeza. Hata hizo Counter sio mipira ya juu.
ACHANA NA VILE VIUMBE MKUU.
Juventus wangekuwa na mtu kama Lewandoski au Vidal hii Game wala tusingesubiri dakika 90 kujua nani anabeba kombe.
Sioni Madrid akipata goli kwa namna yoyote mbele ya Juventus, wale watu wanajua ni nini wanachokifanya uwanjani hususani linapokuja suala la kukaba.
Mkuu afadhali umenisaidia kushangaa. Pamoja na maada nzuri ila nahisi hapo kidogo ka-miscalculate. Ila all in all anyone can win, though Juve are the favorite.