Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba

Leo mbona una raha sana aisee?Kulikoni?

teh teh teh utajuaje labda nimetoka kufunga vitabu vya hesabu.. Mwisho wa mwaka huu teh teh teh

Kuna uzi niliona umemnyooshea mikono Dimondii..
 
teh teh teh utajuaje labda nimetoka kufunga vitabu vya hesabu.. Mwisho wa mwaka huu teh teh teh

Kuna uzi niliona umemnyooshea mikono Dimondii..
Aisee,tugawane basi kaka yangu,mie hata sina cha mwisho wa mwaka wala mwanzo.....lol

Unanijuaga vile nilivyo mkweli eeh?Kwanini nisimpongeze?
Wewe kama umeipenda video/wimbo halafu huku unaponda unamdanganya nani?
Pia mimi kama shabiki wa Ali K ile ni changamoto kwake (Kiba).

Imagine wifi amsifie mjamaa mwingine!Utachukia lakini lazima utafanya improvement ufanane kama sio kumzidi jamaa aliyesifiwa.....
 
Naona kama Kiba kajitahidi vile, kwa aina ya video zake hii kapiga hatua kiasi all the best King wa watu
 


Changanya miguu huwa unajua tunakogawanaga... Kule migombani teh teh..

Ila umechukua muda kuukubali ukweli, mbona tangia zamani tu jamaa anafanya vitu vizuri. Huyu Dimondii bana kama mchawi vile, we angalia tu usi'fall kabisa ukamwacha Kiba kwenye mataa teh teh teh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Acha hizo wewe,Kiba habari nyingine simhami miaka 89999 japo ukweli nitausema.
Nampenda hivyohivyo yani.
 
Kiba na bella wamejitahidi ila rangi ya video kusema za ukweli ni mbaya inaharibu kila kitu kizuri cha ndani aseee...

Yaan hii video ingekuwa na color ya chekecha ingekuwa poa sanaa...

Upande wa pili kina ommy dimpoz, jux na wengineo hawafanyi mistakes kama hizi kwenye video zao
 
Mhhhhh wewe kijana mtakatifu saa hizi unafanya nini huku?
Haya subiri.

Mtakatifu? Ngoja niku charukie hadi upate maana tofauti
Nli lala vyakutosha mchana, ndyo maana macho kodoo usiku huu,
 

Mnapo sema ally kiba ana sauti mna maanishaga nn ...

Maana naamini kila msanii ana sauti nzuri inayopendwa na watu na labda tuseme huwa mnamaanisha sauti nzuri ukizaja list ya wanamuziki Tanzania wenye uwezo wa kucheza na sauti zao hawezi ingia top ten..hyo concept inanipa shida sana kuielewa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Acha hizo wewe,Kiba habari nyingine simhami miaka 89999 japo ukweli nitausema.
Nampenda hivyohivyo yani.

Acha uchawi... wewe moyo wako wala haupo huko tena..

Yaani msanii wako katoa Video wala hujui kama katoa teh teh teh teh
 
#Nagharamia ,video nzuri sana acheni hizo.
Mliotaka inga'e kwani ni kitumbua?
Ali Kiba hongera zako,na masauti yenu mmeua.
Ila pale kwenye kochi nimepapenda sana.....
Heheheheee
 
Acha uchawi... wewe moyo wako wala haupo huko tena..

Yaani msanii wako katoa Video wala hujui kama katoa teh teh teh teh
Moyo wangu utabakia kwa Kiba milele my dear,don't quote me wrong.
 
Mtakatifu? Ngoja niku charukie hadi upate maana tofauti
Nli lala vyakutosha mchana, ndyo maana macho kodoo usiku huu,
Umcharukie nani wewe?Wakati unacharuka mimi nitakuwa nimelala au?
 
Poor you.
Hii comment ya leo imenifanya nikudharau sana.
Otherwise uniambie ni akili za usiku.
 
Assume ule mtangazo wa "Dr Year" ungekua kwa Kiba,hayo makelele sasa,ila kule kwa Ndomo fresh tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…