sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
- Thread starter
- #41
Hawakuheshimu mchezo wa golf,yaani wanacheza huku wanajibizana na kubrowse,tuacheni unafki diamond anajua kuigiza,hata humkubali kuna sehemu kwenye video yake itakufanya urudishe nyuma,my love boad na kcee video inafika mwishoni kuna namna anadance anachezesha mdomo kama anavibrate utapenda urudie,video na inyaya "nakupenda" kuna sehemu anashake utaipenda "utanipenda kuna sehemu kakanyagiwa maji na wolper alivyorespond utadhani ni kweli,kwetu mbagala bibi harusi anaolewa yeye anachugulia utadhani ni kweli..Nana dem anaingia class macho ya diamond yanagongana na ya dem halafu diamond anaangalia chini yaani kitu ambacho kipo sana inatokea.....diamond nyimbo zake nzuri,video zinauhalisia anajua kuigiza utadhani kweli ,alikiba ana sauti,ila video anazotoa hazina mvuto hata hii ya kawaida sana,quality nzuri ila yanayoendelea mle hazina tofauti na video za zilipendwa
Hata kwa mtu asiyejua lugha akiangalia video za diamond anajua kinachoendelea na story inahusu nini,inavutia
Unapokosea ni kumfananisha daimond na alli kiba, ukifanya hivyo naamini kwenye video hauta ona ubora wa kiba kwenye video...