Official Video: Nagharamia - Pongezi kwa Ali Kiba


Unapokosea ni kumfananisha daimond na alli kiba, ukifanya hivyo naamini kwenye video hauta ona ubora wa kiba kwenye video...
 
Safi sana shemeji sumbai,ushabiki pembeni tunajadili issues namna hii.
Umenifurahisha kuliko tukuka,kudos.

Ngoja nikaucheki nije na maoni yangu......

Binafsi mimi ni muumini wa musik mzuri, ni muumini wa video nzuri.

Nimeandika kiroho safi, video hii inafungua ukurasa mpya naiona ile hatua ya video ya mwana inaweza kujirud...
 
Last edited by a moderator:
#Nagharamia ,video nzuri sana acheni hizo.
Mliotaka inga'e kwani ni kitumbua?
Ali Kiba hongera zako,na masauti yenu mmeua.
Ila pale kwenye kochi nimepapenda sana.....
Heheheheee

Binafsi nlitamani video nzima iwe pale kwenye gofu na kochi...huwa naparudia kwenye kochi.
Honestly kiba kapiga hatua kwenye video.

Ashindwe mwenyewe sasa kuifanyia promo
 

Kwenye list yako binafsi hawezi kiwepo...na hataweza kuwepo. But mawazo yako sio lazima yawe ndio ukweli mkuu.
 
Video nzuri inaweza kuchezwa kokote tu duniani..Hongera kiba.
 
Kingkiba on point, sahivi hakuna cha utanipenda, kila mtu anataka kugharamia
 
Binafsi nlitamani video nzima iwe pale kwenye gofu na kochi...huwa naparudia kwenye kochi.
Honestly kiba kapiga hatua kwenye video.

Ashindwe mwenyewe sasa kuifanyia promo
Aiseee,hata mimi.
Sehemu hizo ndio zimeipendezesha video haswaaa
 
Ha ha ha ha ha ha ha naona unakusanya kusanya vimchanga unabumba bumba unavichomekea na maua ili uite keki

Ahahhahaha!!linyimbo libayaaaa mpaka video,akacheze mpira tu kwa kweli mziki awaachie vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…