OfficialLynn: Siwezi ku-date na mwanaume asiye na hela

Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".

Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.

View attachment 1409107

Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
Huyo mrembo au malaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila demu anavitu vyake anavyotaka uwezi kumlaumu kwa kusema hivyo huyo demu Kuna mademu wanapenda wanaume bila kufuata pesa especially kwa wale ambao wana life nzuri au elimu mfano mzuri demu wangu ananipenda japo sina pesa kiivyo.Huyo official Lynn Hana elimu pia Hana kazi yakueleweka so lazima apende mwanaume mwenye pesa.All in all tuheshimu maamuzi ya mtu.
 
Hawezi kudate na mwanaume asiyekuwa na hela sababu yy ANADANGA.

Ila hawa wadangaji na maslay queens nawaonea huruma siku hizi,zamani wakipost picha Instagram wanaweka na location mf Los Angels,Burj Kharifa Dubai,New York,Las Vegas nk.Ila miezi hii miwili hizi bwebwe instagram hatuzioni.

Naona hali hii ya Corona ikiendelea hivi watu watajipigia hata kwa elfu 50,manake sasa hivi hela ngumu na karibia nchi nyingi washafunga mipaka.
 
Sasa utapataje huduma kutoka kwa kahaba na usilipie huduma hio?

Kulipia ni MUST.
 
Hawezi kudate na mwanaume asiyekuwa na hela sababu yy ANADANGA.

Ila hawa wadangaji na maslay queens nawaonea huruma siku hizi,zamani wakipost picha Instagram wanaweka na location mf Los Angels,Burj Kharifa Dubai,New York,Las Vegas nk.Ila miezi hii miwili hizi bwebwe instagram hatuzioni.

Naona hali hii ya Corona ikiendelea hivi watu watajipigia hata kwa elfu 50,manake sasa hivi hela ngumu na karibia nchi nyingi washafunga mipaka.
Huyo demu elimu Hana pia Hana kazi ya kueleweka unataka adate na mwanaume asiye na pesa je unazani ataishije? Cha msingi heshimu maamuzi yake.
 
Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".

Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.

View attachment 1409107

Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
Ngoja tumuone arakapoishia, umri unamruhusu kutongozwa na mapaa ya mujini na azitumie vizuri hizo pesa, baadaye hatawaona
 
Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".

Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.

View attachment 1409107

Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
Mbona kitovu kakifanyia maarifa? Mbona chuchu kama zimeishasagika vile hazichomozi???
 
Huyo demu elimu Hana pia Hana kazi ya kueleweka unataka adate na mwanaume asiye na pesa je unazani ataishije? Cha msingi heshimu maamuzi yake.
Kwa hiyo kaka kama huna elimu huna kazi,solution ni moja ni KUJIUZA au KUDANGA?

Ila kaa ukijua mwanamke age yake ya kujidai ni 20-30 akijitahidi sana kujitunza 35,baada hapo hana dhamani tena,sasa baada ya hapo ataishi vipi ?manake age hiyo tena anakuwa hana dhamani sababu wateja wake watahamia kwa vigoli vinavyochipukia.

Enzi za nyuma tulikuwa na akina Nora,Sinta,Wema na wengineo wengi walikuwa wazuri leo hii wapo wapi.
 
Back
Top Bottom