enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Hivi huwa mnatumia criteria zipi kusema huyu ndo mrembo zaidi ya wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuonea wivuMbona kitovu kakifanyia maarifa? Mbona chuchu kama zimeishasagika vile hazichomozi???
Tunatumia machoHivi huwa mnatumia criteria zipi kusema huyu ndo mrembo zaidi ya wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huyu ni wa Kawaida basi utakuwa unamatatizo ya macho
Usidanganyike na filter ukimuona live hutaamini Kama ndo yeye.Kama huyu ni wa Kawaida basi utakuwa unamatatizo ya macho
Yeye kasema mwanaume wakuingia nae mahusiano anataka awe ana uwezo wa kifedha hajasema mwanaume wa kupita nae nazani utakuwa umenielewa sasa hapo kujiuza kunausikajeKwa hiyo kaka kama huna elimu huna kazi,solution ni moja ni KUJIUZA au KUDANGA?
Ila kaa ukijua mwanamke age yake ya kujidai ni 20-30 akijitahidi sana kujitunza 35,baada hapo hana dhamani tena,sasa baada ya hapo ataishi vipi ?manake age hiyo tena anakuwa hana dhamani sababu wateja wake watahamia kwa vigoli vinavyochipukia.
Enzi za nyuma tulikuwa na akina Nora,Sinta,Wema na wengineo wengi walikuwa wazuri leo hii wapo wapi.
Basi Tuoneshe huyo demu mzuri tumthaminisheWewe ndo una matatizo
Nimewahi kumuona live land mark hotel wakati nikiwa na swimming ndo maana nimesema hivyo.
Kwa hiyo huyo mwaume hela zikikata hamna mahusiano,kesho anatafuta mwengine?Yeye kasema mwanaume wakuingia nae mahusiano anataka awe ana uwezo wa kifedha hajasema mwanaume wa kupita nae nazani utakuwa umenielewa sasa hapo kujiuza kunausikaje
Tuoneshe demu aliyemzidi kwenye kiwanda Cha entertainment
Kuna mademu awapendi shida na sio yeye pekee Cha msingi wewe wafuate mademu watakaokuvumilia ukiwa hauna pesaKwa hiyo huyo mwaume hela zikikata hamna mahusiano,kesho anatafuta mwengine?
Sasa hayo mahusiani au biashara?
Hebu acha kupaka rangi dhambi neno moja tu linalomfaa ANAJIUZA.
Hawapendi shida ndio maana shida zao wanazimaliza kupitia papuchi zao,ila nakwambia uzuri una mwisho Wakina Wema,Sinta,Nora leo hii wapo wapi.Kuna mademu awapendi shida na sio yeye pekee Cha msingi wewe wafuate mademu watakaokuvumilia ukiwa hauna pesa
Si kweli mkuu, ametoka familia ya kawaida tu pale buguruni malapa, mamayake alifariki mwaka 2013 Kama sijakosea kipindi hicho huyu mrembo (Irene ndio jina lake) alakuwa kidato cha kwanza(form one) pale msimbazi Secondary maeneo ya msimbazi center.Nasikia mdingi wake ako na mpunga sana.
Yupo sahihi kama hauna pesa hauwezi kumgharamia.
Ila wa kawaida...hampiti hata Sky Eclat enzi za ujana.