OfficialLynn: Siwezi ku-date na mwanaume asiye na hela

OfficialLynn: Siwezi ku-date na mwanaume asiye na hela

Si aseme anatafuta danga aeleweke.
Ujue wanawake wanaojiuza, hujiuza kwa aina tofauti.
Huyu ni mmoja kati ya wauzaji wa aina hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kaka kama huna elimu huna kazi,solution ni moja ni KUJIUZA au KUDANGA?

Ila kaa ukijua mwanamke age yake ya kujidai ni 20-30 akijitahidi sana kujitunza 35,baada hapo hana dhamani tena,sasa baada ya hapo ataishi vipi ?manake age hiyo tena anakuwa hana dhamani sababu wateja wake watahamia kwa vigoli vinavyochipukia.

Enzi za nyuma tulikuwa na akina Nora,Sinta,Wema na wengineo wengi walikuwa wazuri leo hii wapo wapi.
Yeye kasema mwanaume wakuingia nae mahusiano anataka awe ana uwezo wa kifedha hajasema mwanaume wa kupita nae nazani utakuwa umenielewa sasa hapo kujiuza kunausikaje
 
Yeye kasema mwanaume wakuingia nae mahusiano anataka awe ana uwezo wa kifedha hajasema mwanaume wa kupita nae nazani utakuwa umenielewa sasa hapo kujiuza kunausikaje
Kwa hiyo huyo mwaume hela zikikata hamna mahusiano,kesho anatafuta mwengine?

Sasa hayo mahusiani au biashara?

Hebu acha kupaka rangi dhambi neno moja tu linalomfaa ANAJIUZA.
 
Kwa hiyo huyo mwaume hela zikikata hamna mahusiano,kesho anatafuta mwengine?

Sasa hayo mahusiani au biashara?

Hebu acha kupaka rangi dhambi neno moja tu linalomfaa ANAJIUZA.
Kuna mademu awapendi shida na sio yeye pekee Cha msingi wewe wafuate mademu watakaokuvumilia ukiwa hauna pesa
 
Tangazo la kujiuza hili sema hajasema kama anaenda kwa mpalange pia
 
Kuna mademu awapendi shida na sio yeye pekee Cha msingi wewe wafuate mademu watakaokuvumilia ukiwa hauna pesa
Hawapendi shida ndio maana shida zao wanazimaliza kupitia papuchi zao,ila nakwambia uzuri una mwisho Wakina Wema,Sinta,Nora leo hii wapo wapi.

Naona kama unakasirika huyo binti akiguswa vipi ni mtu wako wa karibu?

Ila kama mtu wako wa karibu mwambie awekeze jua kwake lishaanza kuzama,ili kama siku likizama kabisa awe na mradi au biashara ya kumshikilia,la sivyo ataumbuka vibaya sana.
 
Nasikia mdingi wake ako na mpunga sana.
Si kweli mkuu, ametoka familia ya kawaida tu pale buguruni malapa, mamayake alifariki mwaka 2013 Kama sijakosea kipindi hicho huyu mrembo (Irene ndio jina lake) alakuwa kidato cha kwanza(form one) pale msimbazi Secondary maeneo ya msimbazi center.
Hakufanikiwa kumaliza kidato cha nne huyu Mana aliacha shule akiwa kidato cha nne mwanzoni mwa mwaka 2016 baada ya kuonekana kwenye video ya kwetu ya Rayvany. (Japo nasikia anadai sijui alisoma sant marry)

Simlaumu hata kidogo kuacha shule, kwanza uwezo wake darasani ulikuwa mdogo pili hakuwa mtu mwenye furaha kutokana na maisha yake jinsi yalivyo kuwa kipindi kile.
Hiki anachokifanya sasa ndio kilikuwa ndoto yake siku zote, nafurahi kumuona sasavi ametimiza ndoto zake Mungu azidi kumjaalia afike mbali zaidi.

Kipaji chake kimemsaidia Sana Mungu hawezi kukunyima vyote hata siku moja.
 
Back
Top Bottom