FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Huyo mrembo au malayaMwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".
Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.
View attachment 1409107
Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
Sent using Jamii Forums mobile app