Huyo mrembo au malayaMwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".
Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.
View attachment 1409107
Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
Kwahiyo mtu akiwa mrembo awezi kuwa malaya?
Duh! Hiyo Kali
Huyo demu elimu Hana pia Hana kazi ya kueleweka unataka adate na mwanaume asiye na pesa je unazani ataishije? Cha msingi heshimu maamuzi yake.Hawezi kudate na mwanaume asiyekuwa na hela sababu yy ANADANGA.
Ila hawa wadangaji na maslay queens nawaonea huruma siku hizi,zamani wakipost picha Instagram wanaweka na location mf Los Angels,Burj Kharifa Dubai,New York,Las Vegas nk.Ila miezi hii miwili hizi bwebwe instagram hatuzioni.
Naona hali hii ya Corona ikiendelea hivi watu watajipigia hata kwa elfu 50,manake sasa hivi hela ngumu na karibia nchi nyingi washafunga mipaka.
Kama huyu ni demu wa kawaida Tuoneshe demu mzuriHuyo wa kawaida...aisee tunatofautiana sana
Soma vizuri jamaa hapo kasema huyo wa kawaida nikamjibu tunatofautiana sana.Kama huyu ni demu wa kawaida Tuoneshe demu mzuri
Ngoja tumuone arakapoishia, umri unamruhusu kutongozwa na mapaa ya mujini na azitumie vizuri hizo pesa, baadaye hatawaonaMwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".
Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.
View attachment 1409107
Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
Mbona kitovu kakifanyia maarifa? Mbona chuchu kama zimeishasagika vile hazichomozi???Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".
Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.
View attachment 1409107
Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
Nimependa anavyo vaa nguo za njano na kijani[emoji106]
Kwa hiyo kaka kama huna elimu huna kazi,solution ni moja ni KUJIUZA au KUDANGA?Huyo demu elimu Hana pia Hana kazi ya kueleweka unataka adate na mwanaume asiye na pesa je unazani ataishije? Cha msingi heshimu maamuzi yake.