OfficialLynn: Siwezi ku-date na mwanaume asiye na hela

OfficialLynn: Siwezi ku-date na mwanaume asiye na hela

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".

Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.

Lyyn-Kama-Yote.jpg


Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
 
Eehhh sasa utamtunzaje kama huna Hela?? Hao hamna cha mapenzi ya dhati wala nn... Pesa ya kumtunza iwepo.

Anatupa vijana changamoto ya kutafuta Pesa, wala usimzonge saaaana... Hajiuzi, Ila kasema hawez Date namtu asokua na Pesa.
 
Mbona anaminyonyo utadhani hazina ya taifa ana nini tatizo..?
Halafu mbona uzuri umepukutika sio ule wa kwenye video ya kwetu au ndo kusema bidhaa inaenda ku expire..??😎
 
Back
Top Bottom