radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,473
Wow! Great advice from great womanAfate moyo wake anachoona kinafaa, ila ajue tu kwamba pesa siyo kila kitu kwenye mapenzi, unaweza kuwa na mwenye pesa ila hamna mapenzi ukaishia kuumia tuu, afu pesa zinatafutwa asipende ready made tu kuwa liability,awe chachu ya mwanaume wake kupata pesa kwa kumpa ushauri on how to make it,nk.
Sent using Jamii Forums mobile app