Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio mhindi ni mtoto wa dar wazazi wake wanaishi pale Buguruni
uo ujinga ndio usiku mmoja nkakutana ma kale kahindi ka kwenye hizo video zao za kina rayvany na mario aisee hata kukakalibisha mezani ukanunulie savanah huwezi kabisa.Anapagawa na ma filter ya simu
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
naam nainjoy haswa kuwa na mlimbwende wangu financial servicesUmempa ushauri mzuri mwanamke wa aina yako ndo wanastahili kuolewa.Wanawake sio wote wa ovyo Kuna wengine ni smart Sana kichwani ni kuambie ukweli mwanaume ambaye amejenga uhusiano wa kimapenzi na wewe ana bahati kubwa Sana.
katika malaya waliowahi kutrend bongo, kwa mtazamo wangu huyo anakamata namba moja kwa urembo, she is too cute kiasi kwamba hata akiomba pesa kwangu sawa tu. Ana deserve!Inasemekana huyo demu anangozi nyororo sana..yani ukiigusa tu unasisimka
Pia midomo yake inasifiwa sana..
Hakika namkubali ni mala@ya wa bei ghali kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi napenda mini size kama yako mpenziNasikia mnapenda minyonyo mikubwa
anaweza kuwa YALAMA ila asiwe mremboKwahiyo mtu akiwa mrembo awezi kuwa malaya?
Elimu elimu elimuKwahiyo anapenda hela siyo huyo mtu atakayekua Naye ? aiseee anatofauti gani na wafanya biashara sasa
Mkuu vipi ule mpango ulikamilisha wa IUCha kwanza kinapigwa kwenye manyonyo kama anajua kuyatumia kama Moliah Mills [emoji846][emoji846][emoji846]
Connection mkuu... nimekosa connection.. ila mzigo upo
😀😀 I love you babe Extrovertnaam nainjoy haswa kuwa na mlimbwende wangu financial services
Na wanaume pia hatuwezi kudate na "JAMVI LA WAGENI".Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".
Mwadada huyo anatajwa Kama mwadada mrembo zaidi kuliko wote kwenye kiwanda Cha entertainment.
View attachment 1409107
Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha.
Kabisa aisee...kademu kazurii sana hata ukakiona live, nadhani katakua kamechanganya damu kale kati ya baba au mama mmoja ngozi nyeupekatika malaya waliowahi kutrend bongo, kwa mtazamo wangu huyo anakamata namba moja kwa urembo, she is too cute kiasi kwamba hata akiomba pesa kwangu sawa tu. Ana deserve!