Ofisa mifugo mbaroni kumkashifu Naibu Waziri Katambi

Ofisa mifugo mbaroni kumkashifu Naibu Waziri Katambi

Nadhani huyu mleta Uzi hii atakuwa Katambi pasi na shaka
 
Huyo ofisa hajafundishwa ADABU kwa wakubwa zake?!!!

Naunga mkono hoja ya kuwekwa chini ya ulinzi!!!

#KaziIendelee

Aa
umejibu (vizuri) utadhani Ni mfuasi wa kile chama Cha ubwabwa Cha mzee Nani yule ?
 
Back
Top Bottom