Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

KIPI NI KIPI SASA,
ila ukweli ni kwamba wanawake wana chiti maana mimi nilishakuwa na marafiki wanakula wake za watu tena kwa hao wanawake kuanzisha, inasikitisha sana lakini

Ala! Kumbe wapo! Mimi ndo mara ya kwanza kusikia hivyo ingawa bado inaniwia vigumu kuamini.
 
<br />
<br />
wait a minute mkuu,...
Ina maana huyo vicky ndo aliyekua ameolewa na deo irafay aliyeuawa na majambazi kipindi flani???naomba unijuze kwanza then ntajua cha kucomment..
 
Pole sana leonardo,he was close to you..maisha ni kitu cha ajabu sana
 
<br />
<br />
wait a minute mkuu,...
Ina maana huyo vicky ndo aliyekua ameolewa na deo irafay aliyeuawa na majambazi kipindi flani???naomba unijuze kwanza then ntajua cha kucomment..

ndiyo huyo huyo jini kabula vicky...inawezekana kabisa kuwa aliyemuua deo ndiye aliyemuua dogo...

kuna fununu kuwa risasi zilizompiga dogo zilitokea nyuma.....kama ndivyo basi ni kweli alishootiwa na hakujiua........

uchunguzi bado unaendelea....
 
pia eti bastola yake ilikuwa imejaa risasi..hakupiga hata moja.....

pia kuwa mkewe alibaruzwa ya ushahidi tu??

pengine hii ni baada ya kuamass wealth from cars importing business..

it was now tyme for jini kabula kuachana naye na kutafuta mshefa mwingine?
 
mwana achana na kifo mkubwa,mwezio akifa hata kama umeachiwa mgodi bado lyf utaliona gumu joh!!em imagine ulikuwa na do jana 9t halafu leo umeskia kapgwa risasi kwa'jili'ko.......
 
sasa pretty,2meambiwa 2saidiane,ukimuacha cheater,nan atamsaidia acwe cheater hapa dunian???labda 2mtaftie solution ili akae xawa au we umeichukuliaje?????????????
 
Ala! Kumbe wapo! Mimi ndo mara ya kwanza kusikia hivyo ingawa bado inaniwia vigumu kuamini.

wapo wengi sana mkuu, hata viky ni mfano tosha mbona
na wale wa viti maalumu pale mjengoni DODOMA wenye wamesaliti ndoa zao
 
Huyu jamaa aliejiua kakosa Busara,warembo wapo kibao pale CBE na Udom kwanza demu mwenye kiumri amemzidi zaidi ya 5 yrs,mimi cjiui. Taifa limepoteza maela kumsomesha then anakuja kufa kijinga!
 

Sorry mkuu naomba kuuliza ili niweze kuamua kama namfahamu marehemu ama la. Background info yake yafanana kiasi kikubwa na bwana mmoja aitwa fred (niliyemfahamu kipindi cha nyuma huko musoma, alisoma makoko seminari o-level sijui a-level alisoma wapi, na baadae akasoma mlimani kisha akaenda korea pia kwa mastaz)
 
RIP Fred. Kisa hiki kimenisikitisha sana. Poleni sana wafiwa Mungu awape faraja.
 

mkuu mpe PM jamaa anaweza hasione post yako
 
yani sijaamini bado,huyo deo irafay alivouawa nadhani ni mwaka juzi ivi aliacha mkewe akiwa mjamzito.i wonder wat happened to that baby??au marehemu fred alikua akimlea?yan nimesikitika sana coz nilimfahamu deo but wakati anauawa sikuwepo nchini but i was shocked na sikupata bahati ya kumfahamu hata huyo mkewe..,i feel so sorry for the late fred,such a fine guy mbona wanawake wapo kibao kweli hasira mbaya...may he rip
 

Deo alikufa mwaka 2004 akamuacha Vicky mjane baadae Vicky akaanza mahusiano na Fredy kisha wakaoana na kuanza kuishi pamoja kama mke na mume na Mungu akawajalia kupata mtoto
 
Nimesoma blog moja kuwa Fred alikuwa anatembea na Vick toka mmewe Deo hajafa, ni kweli au ndio hivyo mtu akifa watu husema lolote?

Deo alikufa mwaka 2004 akamuacha Vicky mjane baadae Vicky akaanza mahusiano na Fredy kisha wakaoana na kuanza kuishi pamoja kama mke na mume na Mungu akawajalia kupata mtoto
 
Huyu jamaa alikua na tatizo la akili,inawezekana kutkana na mambo makubwa yaliyo msibu maishani, moja wapo ni kukosa wazazi. Ina wezekana huyo Vicky alikua anamchukulia kama mzazi wake kwa kutokana kukosa mama.Angalia jizi history yake ya kulia lia alio kua mtoto, pamoja na tabia ya usiri, wasiri wengi wana weza fanay kitu so evil mkabaki kushangaa.

Sijui kwa wanao mfahamu ila habari ina sema kwamba, huyu Marehemu alikua na uhusiano wa mapenzi kabla hata huyo Mume wa Vicky kufariki na baada ya kuuwawa ndio waka funga ndoa.

Sasa kwanini tusiconnect dots kwa upande mwingine . Hapa kuna mume wa mtu kauwawa na baada ya muda kaolewa na kijana ambaye ni katelekeza tendo kubwa la kujaribu kuua na kujiua mwenywe , je hatuwezi hisi kwa upande mwingine ni Freddy ndio kamuua Deo (mume wa Vicky wa kwanza) na kwa kua Freddy ndio mwenye tabia ya kua so violent mbaka kutumia silaha . hatuoni inawezekana huyu Freddy ndio muuaji?

Wengi wanamapenzi na Fredy ndio mana wanakataa ukweli halisi, ila kuna uwezekano mkubwa Vicky hajausika kwa lolote ,ila anacho hukumiwa nitabia yake ya ku cheat nje ya ndoa. Police hawawezi tengeneza story ya kustukiza hivyo watete uapnde wa Vicky ghafla hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…