Leonardo,pole sana mkuu wangu....Ukweli ni kwamba hata mimi naasikitikia sana wadogo zake Fredy.Binafsi dogo Fredy alikuwa mtu wangu wa karibu sana na nadiriki kusema kwamba ni mmoja wapo wa washauri wake wa karibu hasa kipindi kile alipofiwa na wazazi wake na kuachiwa mali huku yeye akiwa ni mwanafunzi wa pale IRDP....Vicky!!!!!,kwa nini kila mumewe anakufa kwa risasi?,marehemu Deo(wa IFAD) alikufa kwa risasi getini na majambazi na kumuachia mali zake,Fredy naye anadaiwa kujiua kwa risasi getini.......Kunani hapa?.....Pamoja na kuajiriwa Fredy alikuwa mtafutaji mzuri sana na alikuwa akifanya biashara ya kuuza magari ambayo ilimuingizia fedha nyingi tu.......Kifo cha Fredy kinaniuma sana...

Nakumbuka Jumapili iliyopita nilikutana na Fredy CRDB Dodoma tukasalimiana kisha akaingia ndani ya gari yake aina ya Toyota Harrier na tangu hapo sijaonana naye tena badala yake napewa taarifa nikiwa safarini kuwa dogo kajishoot!!!!!!!.......So sad

Polisi wanapaswa kueleza habari kamili maana inaonekana kuna mengi yamejificha kwani mwanaume anayedaiwa kuwa na Vicky ambaye majina yake yote mawili yanaanzia na herufi M(M.... M....) ni Askari Polisi na ni(alikuwa) mchezaji wa timu ya Polisi Dom(Polisi Tanzania) na kwa sasa ni mwanafunzi wa SJUT......Cha ajabu wanasema Vicky kapigwa risasi na ana hali mbaya yupo ICU kitu mbacho si kweli kwani Vicky yu mzima buheri wa afya,alichopata ni mshituko tu.......Inasikitisha sana.......Pumzika kwa amani mdogo wangu Nkwingwa Fredy,daima nitakukumbuka....

Kuna mengi yamejificha hapa.........Ukweli utajulikana tu...

Bala.