Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

KIPI NI KIPI SASA,
ila ukweli ni kwamba wanawake wana chiti maana mimi nilishakuwa na marafiki wanakula wake za watu tena kwa hao wanawake kuanzisha, inasikitisha sana lakini

Ala! Kumbe wapo! Mimi ndo mara ya kwanza kusikia hivyo ingawa bado inaniwia vigumu kuamini.

Leonardo,pole sana mkuu wangu....Ukweli ni kwamba hata mimi naasikitikia sana wadogo zake Fredy.Binafsi dogo Fredy alikuwa mtu wangu wa karibu sana na nadiriki kusema kwamba ni mmoja wapo wa washauri wake wa karibu hasa kipindi kile alipofiwa na wazazi wake na kuachiwa mali huku yeye akiwa ni mwanafunzi wa pale IRDP....Vicky!!!!!,kwa nini kila mumewe anakufa kwa risasi?,marehemu Deo(wa IFAD) alikufa kwa risasi getini na majambazi na kumuachia mali zake,Fredy naye anadaiwa kujiua kwa risasi getini.......Kunani hapa?.....Pamoja na kuajiriwa Fredy alikuwa mtafutaji mzuri sana na alikuwa akifanya biashara ya kuuza magari ambayo ilimuingizia fedha nyingi tu.......Kifo cha Fredy kinaniuma sana...

Nakumbuka Jumapili iliyopita nilikutana na Fredy CRDB Dodoma tukasalimiana kisha akaingia ndani ya gari yake aina ya Toyota Harrier na tangu hapo sijaonana naye tena badala yake napewa taarifa nikiwa safarini kuwa dogo kajishoot!!!!!!!.......So sad

Polisi wanapaswa kueleza habari kamili maana inaonekana kuna mengi yamejificha kwani mwanaume anayedaiwa kuwa na Vicky ambaye majina yake yote mawili yanaanzia na herufi M(M.... M....) ni Askari Polisi na ni(alikuwa) mchezaji wa timu ya Polisi Dom(Polisi Tanzania) na kwa sasa ni mwanafunzi wa SJUT......Cha ajabu wanasema Vicky kapigwa risasi na ana hali mbaya yupo ICU kitu mbacho si kweli kwani Vicky yu mzima buheri wa afya,alichopata ni mshituko tu.......Inasikitisha sana.......Pumzika kwa amani mdogo wangu Nkwingwa Fredy,daima nitakukumbuka....

Kuna mengi yamejificha hapa.........Ukweli utajulikana tu...

Bala.

wait a minute mkuu,...
Ina maana huyo vicky ndo aliyekua ameolewa na deo irafay aliyeuawa na majambazi kipindi flani???naomba unijuze kwanza then ntajua cha kucomment..

wait a minute mkuu,...
Ina maana huyo vicky ndo aliyekua ameolewa na deo irafay aliyeuawa na majambazi kipindi flani???naomba unijuze kwanza then ntajua cha kucomment..

ndiyo huyo huyo jini kabula vicky...inawezekana kabisa kuwa aliyemuua deo ndiye aliyemuua dogo...

kuna fununu kuwa risasi zilizompiga dogo zilitokea nyuma.....kama ndivyo basi ni kweli alishootiwa na hakujiua........

uchunguzi bado unaendelea....

pia eti bastola yake ilikuwa imejaa risasi..hakupiga hata moja.....

pia kuwa mkewe alibaruzwa ya ushahidi tu??

pengine hii ni baada ya kuamass wealth from cars importing business..

it was now tyme for jini kabula kuachana naye na kutafuta mshefa mwingine?

mwana achana na kifo mkubwa,mwezio akifa hata kama umeachiwa mgodi bado lyf utaliona gumu joh!!em imagine ulikuwa na do jana 9t halafu leo umeskia kapgwa risasi kwa'jili'ko.......

sasa pretty,2meambiwa 2saidiane,ukimuacha cheater,nan atamsaidia acwe cheater hapa dunian???labda 2mtaftie solution ili akae xawa au we umeichukuliaje?????????????

Ala! Kumbe wapo! Mimi ndo mara ya kwanza kusikia hivyo ingawa bado inaniwia vigumu kuamini.

wapo wengi sana mkuu, hata viky ni mfano tosha mbona
na wale wa viti maalumu pale mjengoni DODOMA wenye wamesaliti ndoa zao

Huyu jamaa aliejiua kakosa Busara,warembo wapo kibao pale CBE na Udom kwanza demu mwenye kiumri amemzidi zaidi ya 5 yrs,mimi cjiui. Taifa limepoteza maela kumsomesha then anakuja kufa kijinga!

Tatizo marehemu alikuwa msiri sana na mambo mengi alikuwa anaugulia moyoni asemi wazi wazi, hii ishu sisi washkaji tungemsaidia kusolve vzuri tu wala hata asingejiua. Kwa mliobahatika kumfahamu Fredy poleni sana, mimi bado nalia sana.Tangu juzi akili yangu imetekwa na huu msiba na najilaumu sana kwa kushindwa kuzuia kifo cha Fred.

Mara ya mwisho aliniambia amefurahi sana kurejea bongo kuungana na familia yake baada ya kusota S.Korea alikochukulia masters yake. Jamaa alikuwa na ndoto nyingi sana.

Nimeamini moyo wa mtu ni giza nene, wamama ficheni bastola za waume zenu ili kuepusha balaa kama hili.

RIP Fredy... Picha zetu za utotoni tukiwa tunacheza zinanijia sana and its a memory i cnt 4get. Umetangulia wengine tunafuata.

Sorry mkuu naomba kuuliza ili niweze kuamua kama namfahamu marehemu ama la. Background info yake yafanana kiasi kikubwa na bwana mmoja aitwa fred (niliyemfahamu kipindi cha nyuma huko musoma, alisoma makoko seminari o-level sijui a-level alisoma wapi, na baadae akasoma mlimani kisha akaenda korea pia kwa mastaz)

RIP Fred. Kisa hiki kimenisikitisha sana. Poleni sana wafiwa Mungu awape faraja.

Sorry mkuu naomba kuuliza ili niweze kuamua kama namfahamu marehemu ama la. Background info yake yafanana kiasi kikubwa na bwana mmoja aitwa fred (niliyemfahamu kipindi cha nyuma huko musoma, alisoma makoko seminari o-level sijui a-level alisoma wapi, na baadae akasoma mlimani kisha akaenda korea pia kwa mastaz)

mkuu mpe PM jamaa anaweza hasione post yako

yani sijaamini bado,huyo deo irafay alivouawa nadhani ni mwaka juzi ivi aliacha mkewe akiwa mjamzito.i wonder wat happened to that baby??au marehemu fred alikua akimlea?yan nimesikitika sana coz nilimfahamu deo but wakati anauawa sikuwepo nchini but i was shocked na sikupata bahati ya kumfahamu hata huyo mkewe..,i feel so sorry for the late fred,such a fine guy mbona wanawake wapo kibao kweli hasira mbaya...may he rip

yani sijaamini bado,huyo deo irafay alivouawa nadhani ni mwaka jana au juzi ivi aliacha mkewe akiwa mjamzito.i wonder wat happened to that baby??au marehemu fred alikua akimlea?yan nimesikitika sana coz nilimfahamu deo but wakati anauawa sikuwepo nchini but i was shocked na sikupata bahati ya kumfahamu hata huyo mkewe..,i feel so sorry for the late fred,such a fine guy mbona wanawake wapo kibao kweli hasira mbaya...may he rip

Deo alikufa mwaka 2004 akamuacha Vicky mjane baadae Vicky akaanza mahusiano na Fredy kisha wakaoana na kuanza kuishi pamoja kama mke na mume na Mungu akawajalia kupata mtoto

Nimesoma blog moja kuwa Fred alikuwa anatembea na Vick toka mmewe Deo hajafa, ni kweli au ndio hivyo mtu akifa watu husema lolote?

Deo alikufa mwaka 2004 akamuacha Vicky mjane baadae Vicky akaanza mahusiano na Fredy kisha wakaoana na kuanza kuishi pamoja kama mke na mume na Mungu akawajalia kupata mtoto

Huyu jamaa alikua na tatizo la akili,inawezekana kutkana na mambo makubwa yaliyo msibu maishani, moja wapo ni kukosa wazazi. Ina wezekana huyo Vicky alikua anamchukulia kama mzazi wake kwa kutokana kukosa mama.Angalia jizi history yake ya kulia lia alio kua mtoto, pamoja na tabia ya usiri, wasiri wengi wana weza fanay kitu so evil mkabaki kushangaa.

Sijui kwa wanao mfahamu ila habari ina sema kwamba, huyu Marehemu alikua na uhusiano wa mapenzi kabla hata huyo Mume wa Vicky kufariki na baada ya kuuwawa ndio waka funga ndoa.

Sasa kwanini tusiconnect dots kwa upande mwingine . Hapa kuna mume wa mtu kauwawa na baada ya muda kaolewa na kijana ambaye ni katelekeza tendo kubwa la kujaribu kuua na kujiua mwenywe , je hatuwezi hisi kwa upande mwingine ni Freddy ndio kamuua Deo (mume wa Vicky wa kwanza) na kwa kua Freddy ndio mwenye tabia ya kua so violent mbaka kutumia silaha . hatuoni inawezekana huyu Freddy ndio muuaji?

Wengi wanamapenzi na Fredy ndio mana wanakataa ukweli halisi, ila kuna uwezekano mkubwa Vicky hajausika kwa lolote ,ila anacho hukumiwa nitabia yake ya ku cheat nje ya ndoa. Police hawawezi tengeneza story ya kustukiza hivyo watete uapnde wa Vicky ghafla hivyo!

Back
Top Bottom