VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,900
- 581
freddy na mkewe walikuwa marafiki wetu (mimi na mke wangu) wa karibu! nakiri nimeshindwa kabisa kutoa maoni!
sawa mkuu lakini yako ni muhimu ili tujifunze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
freddy na mkewe walikuwa marafiki wetu (mimi na mke wangu) wa karibu! nakiri nimeshindwa kabisa kutoa maoni!
Latest news nilizozipata ni kwamba Fredy hajajiua, Fredy ameuwawa na polisi dodoma. Mkumbuke mwizi wa Fredy ni polisi wa dodoma ambaye anasoma Chuo cha St.John, na siku ya tukio mwizi huyo (polisi) alikuwa na Vicky. Fredy alipigwa risasi ya ubavuni, sehemu ambayo ni ngumu sana kwa mtu kujipiga mwenyewe (na sio kifuani kama vyombo vya habari inavyoripoti), risasi iliyomuua Fredy haijapatikana eneo la tukio, simu ya marehemu haijulikani ilipo na Vicky hajapigwa risasi hata moja kama vyombo vya habari vinavyoripoti.
Hii yote inaonesha kwamba habari iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na polisi ni ya uzushi na uongo mtupu. Kwakuwa mmoja wa watuhumiwa ni polisi, na Polisi imeanza kwa kutoa habari zisizo za kweli kuhusu tukio zima, Polisi pia hatuwaamini katika uchunguzi wa kifo cha marehemu.
Naomba kama kuna ndugu wa huyo polisi au Vicky wanapita hapa JF muwa taarifu kabisa kwamba maisha yao yako hatarini, Watu wa dodoma wana hasira na uchungu sana na kifo cha Fredy.
Jamani inasikitisha sana kila nikiingia kwenye hii thread
Bullshit story , niambie kama umemuona Vicky akiwa mzima wa afya kama hujaambiwa tuu kiushabiki , tupe hiyo report ya kuoneysha marehemu wound lake ni lakupigwa risasi na mtu na sio kujishoot
Iiweje hata ndugu zake kwenye msiba , kama huyo jamaa hapo chini anaposema kuwa hakuna aliye zungumzia Freddy kafaje ,kwenye msiba wake .
Hiyo inaonyesha kabisa Ndugu wana jua kafaje na nia ibu kuongelea, kila ishara inaoneysha kajiua sababu ya wivu .Mwanamke ana hukumiwasababu ya umalaya tuu hapo ndio saabu kila mtua na m point Vicky.
Ndio hivo tena raha ya ngoma aijuaye ni mchezajipole ndio na sisi tunajifunza hivyo
kuna watu hawafahi
mimi nimefikia hatua nasema VIKY na Marehebu Fredy Wote bure kabisa
kila mtu ana part yake hapo.
lakini kwa fredy sijuia viky alikuwa na nini kitamu kiasi hicho bado sijaelewa.
mtu unakufa kwa ajili ya nyama no hapana
Kwa vipindi vya forensic science nilivyoangalia inaonesha mtu hawezi kujipiga risasi ya kifuani labda kichwani..
freddy na mkewe walikuwa marafiki wetu (mimi na mke wangu) wa karibu! nakiri nimeshindwa kabisa kutoa maoni!
Bullshit story , niambie kama umemuona Vicky akiwa mzima wa afya kama hujaambiwa tuu kiushabiki , tupe hiyo report ya kuoneysha marehemu wound lake ni lakupigwa risasi na mtu na sio kujishoot
Iiweje hata ndugu zake kwenye msiba , kama huyo jamaa hapo chini anaposema kuwa hakuna aliye zungumzia Freddy kafaje ,kwenye msiba wake .
Hiyo inaonyesha kabisa Ndugu wana jua kafaje na nia ibu kuongelea, kila ishara inaoneysha kajiua sababu ya wivu .Mwanamke ana hukumiwasababu ya umalaya tuu hapo ndio saabu kila mtua na m point Vicky.
ishu ikihusisha polisi huwa kuna sarakasi za kufa mtu....POLISI MKOANI MOROGORO WANAMSHIKILIA OCD AMBAYE ALIPIGA RISASI TAIRI YA GARI NA RISASI KUMPATA MAKALIO DEREVA(lecturer wa SUA)
RISASI YA TAIRI NA MAKALIO WAPI NA WAPI?
Mi naona polisi wadeal na huyu mama bse wanaume wake wote huishia ivyo!
Alafu isije ikawa mazingira yamepikwa hayo kamfumania bar ndo ajipige risasi!
Maswali ni mengi majibu machache.
Rest in Peace Fred!
Hahahaha, kuna mijitu ni mibishi dunia hii khaaaa....wewe hujui mengi yaliyo nyuma ya pazia mpaka kupelekea kuuwawa kwa Fredy.
1. Je, unajua kuwa wakati Fredy yuko korea alimtumia gari mkewe akalicheza dili na huyo mwizi polisi, Fredy aliporudi hakulikuta?
2. Je, unajua wakati Fredy yuko korea, Vicky alipata mimba ya huyo polisi?
3. Je, unajua Vicky alihusikaje kwenye kifo cha Deo, mume wake wa kwanza aliyeuwawa?
4.
5.
Usikurupukie hoja, wewe ndiye mshabiki usiyetaka kujua hata kilichopo nyuma ya pazia, watu tuna full data hatukurupuki, vitu vingine hatuvisemi kwa heshima ya marehemu.
so far inaonyesha viky kala dili,Na ninaskia kuna wamama watu wazma walimfuata Vicky hospitali,wakamsihi sna akamuaqge mumewe kule motuary. But bidada akakataa kabsa kasema haend. S unajua kma mtu wako wa karibu aidha nmume au mke kafark na we pia waumwa lazma ukaage jamani. Haijlishi watembelea machela au lah. Vicky ahuska sana kwa kifo cha mumewe huyu dada ni gubeli wallah!
<br /><br />Na ninaskia kuna wamama watu wazma walimfuata Vicky hospitali,wakamsihi sna akamuaqge mumewe kule motuary. But bidada akakataa kabsa kasema haend. S unajua kma mtu wako wa karibu aidha nmume au mke kafark na we pia waumwa lazma ukaage jamani. Haijlishi watembelea machela au lah. Vicky ahuska sana kwa kifo cha mumewe huyu dada ni gubeli wallah!
<br /><br />
Dah ana roho ngumu vicky,nahisi kuumia moyoni kila nikiitembelea hii thread,sijui wadogo wa fred watakuwa na hali gani..maisha haya,halaf mali aachiwe vicky kisa ni mke wa ndoa na chanzo cha kifo ni yeye..the world is just not fair..
ishu ikihusisha polisi huwa kuna sarakasi za kufa mtu....POLISI MKOANI MOROGORO WANAMSHIKILIA OCD AMBAYE ALIPIGA RISASI TAIRI YA GARI NA RISASI KUMPATA MAKALIO DEREVA(lecturer wa SUA)
RISASI YA TAIRI NA MAKALIO WAPI NA WAPI?
Hahahaha, kuna mijitu ni mibishi dunia hii khaaaa....wewe hujui mengi yaliyo nyuma ya pazia mpaka kupelekea kuuwawa kwa Fredy.
1. Je, unajua kuwa wakati Fredy yuko korea alimtumia gari mkewe akalicheza dili na huyo mwizi polisi, Fredy aliporudi hakulikuta?
2. Je, unajua wakati Fredy yuko korea, Vicky alipata mimba ya huyo polisi?
3. Je, unajua Vicky alihusikaje kwenye kifo cha Deo, mume wake wa kwanza aliyeuwawa?
4.
5.
Usikurupukie hoja, wewe ndiye mshabiki usiyetaka kujua hata kilichopo nyuma ya pazia, watu tuna full data hatukurupuki, vitu vingine hatuvisemi kwa heshima ya marehemu.
Na ninaskia kuna wamama watu wazma walimfuata Vicky hospitali,wakamsihi sna akamuaqge mumewe kule motuary. But bidada akakataa kabsa kasema haend. S unajua kma mtu wako wa karibu aidha nmume au mke kafark na we pia waumwa lazma ukaage jamani. Haijlishi watembelea machela au lah. Vicky ahuska sana kwa kifo cha mumewe huyu dada ni gubeli wallah!