Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

Jamani inasikitisha sana kila nikiingia kwenye hii thread
 
Kwa vipindi vya forensic science nilivyoangalia inaonesha mtu hawezi kujipiga risasi ya kifuani labda kichwani..
 
Latest news nilizozipata ni kwamba Fredy hajajiua, Fredy ameuwawa na polisi dodoma. Mkumbuke mwizi wa Fredy ni polisi wa dodoma ambaye anasoma Chuo cha St.John, na siku ya tukio mwizi huyo (polisi) alikuwa na Vicky. Fredy alipigwa risasi ya ubavuni, sehemu ambayo ni ngumu sana kwa mtu kujipiga mwenyewe (na sio kifuani kama vyombo vya habari inavyoripoti), risasi iliyomuua Fredy haijapatikana eneo la tukio, simu ya marehemu haijulikani ilipo na Vicky hajapigwa risasi hata moja kama vyombo vya habari vinavyoripoti.
Hii yote inaonesha kwamba habari iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na polisi ni ya uzushi na uongo mtupu. Kwakuwa mmoja wa watuhumiwa ni polisi, na Polisi imeanza kwa kutoa habari zisizo za kweli kuhusu tukio zima, Polisi pia hatuwaamini katika uchunguzi wa kifo cha marehemu.

Naomba kama kuna ndugu wa huyo polisi au Vicky wanapita hapa JF muwa taarifu kabisa kwamba maisha yao yako hatarini, Watu wa dodoma wana hasira na uchungu sana na kifo cha Fredy.

Bullshit story , niambie kama umemuona Vicky akiwa mzima wa afya kama hujaambiwa tuu kiushabiki , tupe hiyo report ya kuoneysha marehemu wound lake ni lakupigwa risasi na mtu na sio kujishoot

Iiweje hata ndugu zake kwenye msiba , kama huyo jamaa hapo chini anaposema kuwa hakuna aliye zungumzia Freddy kafaje ,kwenye msiba wake .

Hiyo inaonyesha kabisa Ndugu wana jua kafaje na nia ibu kuongelea, kila ishara inaoneysha kajiua sababu ya wivu .Mwanamke ana hukumiwasababu ya umalaya tuu hapo ndio saabu kila mtua na m point Vicky.
 
Jamani inasikitisha sana kila nikiingia kwenye hii thread

pole ndio na sisi tunajifunza hivyo
kuna watu hawafahi
mimi nimefikia hatua nasema VIKY na Marehebu Fredy Wote bure kabisa
kila mtu ana part yake hapo.
lakini kwa fredy sijuia viky alikuwa na nini kitamu kiasi hicho bado sijaelewa.
mtu unakufa kwa ajili ya nyama no hapana
 
Bullshit story , niambie kama umemuona Vicky akiwa mzima wa afya kama hujaambiwa tuu kiushabiki , tupe hiyo report ya kuoneysha marehemu wound lake ni lakupigwa risasi na mtu na sio kujishoot

Iiweje hata ndugu zake kwenye msiba , kama huyo jamaa hapo chini anaposema kuwa hakuna aliye zungumzia Freddy kafaje ,kwenye msiba wake .

Hiyo inaonyesha kabisa Ndugu wana jua kafaje na nia ibu kuongelea, kila ishara inaoneysha kajiua sababu ya wivu .Mwanamke ana hukumiwasababu ya umalaya tuu hapo ndio saabu kila mtua na m point Vicky.

mkuu utete wako bado na wewe hauna nguvu ukizingatia polisi wetu mambo wanayofanya hii ni issue ndogo sana kwao
 
pole ndio na sisi tunajifunza hivyo
kuna watu hawafahi
mimi nimefikia hatua nasema VIKY na Marehebu Fredy Wote bure kabisa
kila mtu ana part yake hapo.
lakini kwa fredy sijuia viky alikuwa na nini kitamu kiasi hicho bado sijaelewa.
mtu unakufa kwa ajili ya nyama no hapana
Ndio hivo tena raha ya ngoma aijuaye ni mchezaji
 
Kwa vipindi vya forensic science nilivyoangalia inaonesha mtu hawezi kujipiga risasi ya kifuani labda kichwani..

Inawezekana lakn kuna facts zinaangaliwa,kama bullet used,caliber,angle of shooting,fingerprints on a murder weapon,distance and the intensity of wound,gun powder,expert wa ballistic forensics anaweza eleza vzur sn.
 
freddy na mkewe walikuwa marafiki wetu (mimi na mke wangu) wa karibu! nakiri nimeshindwa kabisa kutoa maoni!

Kwa nini usindwe kutoa maoni?? funguka bwana utoe kilicho rohoni kwako. Kwa mimi naongea maana ni njia moja wapo ya kuniondolea machungu ya kuondokewa na Fred maana sikubahatika kuhudhuria mazishi yake.Hilo pia linaniuma sana. Nakiri jamaa alikuwa rafiki, pamoja na madhaifu mengine lakini aliwajali sana rafiki zake.

Waliouosha mwili wa marehemu hawakuona jeraha? au lilifichwa kabisa ili ukweli usijulikana maana muhusika ni polisi?
 
ishu ikihusisha polisi huwa kuna sarakasi za kufa mtu....POLISI MKOANI MOROGORO WANAMSHIKILIA OCD AMBAYE ALIPIGA RISASI TAIRI YA GARI NA RISASI KUMPATA MAKALIO DEREVA(lecturer wa SUA)
RISASI YA TAIRI NA MAKALIO WAPI NA WAPI?
 
Mi naona polisi wadeal na huyu mama bse wanaume wake wote huishia ivyo!
Alafu isije ikawa mazingira yamepikwa hayo kamfumania bar ndo ajipige risasi!
Maswali ni mengi majibu machache.
Rest in Peace Fred!
 
Bullshit story , niambie kama umemuona Vicky akiwa mzima wa afya kama hujaambiwa tuu kiushabiki , tupe hiyo report ya kuoneysha marehemu wound lake ni lakupigwa risasi na mtu na sio kujishoot

Iiweje hata ndugu zake kwenye msiba , kama huyo jamaa hapo chini anaposema kuwa hakuna aliye zungumzia Freddy kafaje ,kwenye msiba wake .

Hiyo inaonyesha kabisa Ndugu wana jua kafaje na nia ibu kuongelea, kila ishara inaoneysha kajiua sababu ya wivu .Mwanamke ana hukumiwasababu ya umalaya tuu hapo ndio saabu kila mtua na m point Vicky.

Hahahaha, kuna mijitu ni mibishi dunia hii khaaaa....wewe hujui mengi yaliyo nyuma ya pazia mpaka kupelekea kuuwawa kwa Fredy.
1. Je, unajua kuwa wakati Fredy yuko korea alimtumia gari mkewe akalicheza dili na huyo mwizi polisi, Fredy aliporudi hakulikuta?
2. Je, unajua wakati Fredy yuko korea, Vicky alipata mimba ya huyo polisi?
3. Je, unajua Vicky alihusikaje kwenye kifo cha Deo, mume wake wa kwanza aliyeuwawa?
4.
5.
Usikurupukie hoja, wewe ndiye mshabiki usiyetaka kujua hata kilichopo nyuma ya pazia, watu tuna full data hatukurupuki, vitu vingine hatuvisemi kwa heshima ya marehemu.
 
Na ninaskia kuna wamama watu wazma walimfuata Vicky hospitali,wakamsihi sna akamuaqge mumewe kule motuary. But bidada akakataa kabsa kasema haend. S unajua kma mtu wako wa karibu aidha nmume au mke kafark na we pia waumwa lazma ukaage jamani. Haijlishi watembelea machela au lah. Vicky ahuska sana kwa kifo cha mumewe huyu dada ni gubeli wallah!
 
ishu ikihusisha polisi huwa kuna sarakasi za kufa mtu....POLISI MKOANI MOROGORO WANAMSHIKILIA OCD AMBAYE ALIPIGA RISASI TAIRI YA GARI NA RISASI KUMPATA MAKALIO DEREVA(lecturer wa SUA)
RISASI YA TAIRI NA MAKALIO WAPI NA WAPI?

Mi naona polisi wadeal na huyu mama bse wanaume wake wote huishia ivyo!
Alafu isije ikawa mazingira yamepikwa hayo kamfumania bar ndo ajipige risasi!
Maswali ni mengi majibu machache.
Rest in Peace Fred!

Hahahaha, kuna mijitu ni mibishi dunia hii khaaaa....wewe hujui mengi yaliyo nyuma ya pazia mpaka kupelekea kuuwawa kwa Fredy.
1. Je, unajua kuwa wakati Fredy yuko korea alimtumia gari mkewe akalicheza dili na huyo mwizi polisi, Fredy aliporudi hakulikuta?
2. Je, unajua wakati Fredy yuko korea, Vicky alipata mimba ya huyo polisi?
3. Je, unajua Vicky alihusikaje kwenye kifo cha Deo, mume wake wa kwanza aliyeuwawa?
4.
5.
Usikurupukie hoja, wewe ndiye mshabiki usiyetaka kujua hata kilichopo nyuma ya pazia, watu tuna full data hatukurupuki, vitu vingine hatuvisemi kwa heshima ya marehemu.

Na ninaskia kuna wamama watu wazma walimfuata Vicky hospitali,wakamsihi sna akamuaqge mumewe kule motuary. But bidada akakataa kabsa kasema haend. S unajua kma mtu wako wa karibu aidha nmume au mke kafark na we pia waumwa lazma ukaage jamani. Haijlishi watembelea machela au lah. Vicky ahuska sana kwa kifo cha mumewe huyu dada ni gubeli wallah!
so far inaonyesha viky kala dili,
sijui ni dhambi kuuliza viky ni kabila gani?
huyo mama mbona roho za watu ni kama viberiti au mche wa sabuni.

huyo polisi hii ka save lakini za mwizi ni 40
 
Na ninaskia kuna wamama watu wazma walimfuata Vicky hospitali,wakamsihi sna akamuaqge mumewe kule motuary. But bidada akakataa kabsa kasema haend. S unajua kma mtu wako wa karibu aidha nmume au mke kafark na we pia waumwa lazma ukaage jamani. Haijlishi watembelea machela au lah. Vicky ahuska sana kwa kifo cha mumewe huyu dada ni gubeli wallah!
&lt;br /&gt;<br />
Dah ana roho ngumu vicky,nahisi kuumia moyoni kila nikiitembelea hii thread,sijui wadogo wa fred watakuwa na hali gani..maisha haya,halaf mali aachiwe vicky kisa ni mke wa ndoa na chanzo cha kifo ni yeye..the world is just not fair..
 
Inauma sana lakini huyu bwana alikuwa mbumbumbu wa mapenzi,unakatisha uhai kisa mwanamke?tena kamzidi umri,inawezekana yale wanayosema ya kuwekewa Limbw....... hapa ndiyo yalikuwa yamefanyiwa huyu mwanaume mtanashati,msomi future nzuri n.k
 
&lt;br /&gt;<br />
Dah ana roho ngumu vicky,nahisi kuumia moyoni kila nikiitembelea hii thread,sijui wadogo wa fred watakuwa na hali gani..maisha haya,halaf mali aachiwe vicky kisa ni mke wa ndoa na chanzo cha kifo ni yeye..the world is just not fair..

kwa sababu hao watoto walikuwa wanamtegemea nadhani wanastahili kuwezeshwa kutokana na mali za marehemu
kwa nchi za wenzetu ingewezekana labda marehemu aliandika wosia.
ila naye hakuwa na huruma na hao ndugu zake?
hiki kifo kina utata mkubwa
 
ishu ikihusisha polisi huwa kuna sarakasi za kufa mtu....POLISI MKOANI MOROGORO WANAMSHIKILIA OCD AMBAYE ALIPIGA RISASI TAIRI YA GARI NA RISASI KUMPATA MAKALIO DEREVA(lecturer wa SUA)
RISASI YA TAIRI NA MAKALIO WAPI NA WAPI?

hii nchi kama inaongozwa na polisi vile,
bora wajeshi washike hatamu polisi watatumaliza hawa.
 
Hahahaha, kuna mijitu ni mibishi dunia hii khaaaa....wewe hujui mengi yaliyo nyuma ya pazia mpaka kupelekea kuuwawa kwa Fredy.
1. Je, unajua kuwa wakati Fredy yuko korea alimtumia gari mkewe akalicheza dili na huyo mwizi polisi, Fredy aliporudi hakulikuta?
2. Je, unajua wakati Fredy yuko korea, Vicky alipata mimba ya huyo polisi?
3. Je, unajua Vicky alihusikaje kwenye kifo cha Deo, mume wake wa kwanza aliyeuwawa?
4.
5.
Usikurupukie hoja, wewe ndiye mshabiki usiyetaka kujua hata kilichopo nyuma ya pazia, watu tuna full data hatukurupuki, vitu vingine hatuvisemi kwa heshima ya marehemu.

Hahahaha nikucheke na wewe .Naweza sema naelewa uchungu wako ,sawa na waTZ wengi tuu nawanao tuhumu watu kwa maneno ya kusikia .Kama una data kamili unashindwaje kujua Vicky kajeruhiwa ?, inaoneysha unapend akudandia habari bila kupata facts . Eti gari limetumwa, eti mimba, hiyo si cheating kama alivyo kuwa na cheat wakati kaolewa na Deo ambapo huyu Freddy alikua mmoja wa wapenzi wake.
Haya una data toa hizo data Deo huku uhusiano wa Vicky na kifo cha Deo , umeshindwa kueleza Vicky alipo na hali yake ikoje, utajua Deo kauliwaje?

Acha porojo, kama una uchungu , kaa na uchungu ila sio kuhisi vitu ambavyo havipo, .hakuna plan ya mauaji halafu eti anaye panga ajipige risasi kujijerhi ili athibitishe mume kajiua wakati alipo jaribu kuua, sio uwezo wa Vicky huo.

Marehemu Fredy ana uwezo wa kuua ,kwani kaisha jaribu kumuua Vicky na kujiua yeye kwa wivu na hasira! Haitashangaza kujua ni yeye ndio aliye muua au kutuma watu kumuua Deo ili aweze kuoana na Vicky sababu ya kumpenda na kutoa kubali kumkosa kwa njia yeyete ndio maana akataka kumua Vicky na kujiua yeye ili wakose wote!
 
Na ninaskia kuna wamama watu wazma walimfuata Vicky hospitali,wakamsihi sna akamuaqge mumewe kule motuary. But bidada akakataa kabsa kasema haend. S unajua kma mtu wako wa karibu aidha nmume au mke kafark na we pia waumwa lazma ukaage jamani. Haijlishi watembelea machela au lah. Vicky ahuska sana kwa kifo cha mumewe huyu dada ni gubeli wallah!

Unasema ana husika? , huku akiwa hospitali akibembelezwa tena na wamama aende kuaga mwili , inamana huyo police walipanga naye wamshoot ili kupoteza ushahidi? ,kama una hiyo habari hebu tupe ushahidi wa plan ilikuaje .

Sioni sababu ya kumuaga mtu aliye taka kukuua , huyo hakua mzazi wake wala damu yake ni mume tuu,muma anaweza akaja mwingine kama alivyyo kuja Freddy baada ya Deo Kuuwawa. Vicky ana haki zote za kukataa kwenda kuaga, kwani sidhani kama huyo dada hajui kua Freddy naye alikua na mademu, mbona yeye haja muua Freddy? Au uniambie Freddy alikua Mtakatifu hajawahi cheat na Vicky kujua hilo, wote walikua moto chini tusidanganyane!

Kifupi Fredy ni Mpumbavu, mchoyo na mwenye roho mbaya, kwanza kwa kataka kuua, pili kajiua ,tatu hakufikiria uchungu na mateso na hali ngumu ya maisha atakayo waachia wanao mtegemea , huo ni Uchoyo ulio kubuhu ndio maana sisemi Rest In peace!
 
Back
Top Bottom