minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mpaka siku Rubani feki aangushe ndege ndo tutaelewa ukubwa wa hili tatizo Tanzania.
Hili Janga (fake feki a.k.a isiyo Harisia)ni janga kubwa isivyofikiriwa na tatizo kubwa lipo kwenye taasisi za kutoa Haki Ndio Maana kuna mlundikano wa wafungwa jela huku wenye jukumu la Haki wakichelewesha maamuzi Pengine Baadhi yao si Wahitimu harisia wa Fani (vyeti feki)na pengine huchelewesha Haki ili wapate mda kwenda kuulizia kwa wale Wasomi harisia jinsi ya Kutoa Haki stahiki huko kuchunguzwe vyema akina Feki wapo wengi hususani kule Mikoani kumbuka kule Kenya kulikuwa Ofisa wa Polisi fake akifanya kazi kwa Miaka mingi pasipo kujulikana