Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa! Sawa bana wewe ni insider wa TISS UNAJUA ZAIDI. HEBU TUJUZE BASI, ULIWAONA WAPI VICHAA WA TISS?????? MANAKE UMESEMA TISS KUNA VICHAAA. NA HUO MPANGO WA KUUA MAHABUSU UMEUPATA WAPI??? HEBU THIBITISHA HAPA, KISHA TOA TAARIFA POLISI ILI WAHUSIKA WAKAMATWE!
Alikuwa na maana ya vichaa feki wale wa kuzungukazunguka! Watu mnaishi dunia gani.
Afisa Usalama! what a pit!
Nawaona watu wa kawaida sana. Ulinzi na Usalama wa Tanzania ni wa Watanzania wenyewe na hasa Wazalendo.
Mkuu kuna watu mpaka leo wanadhani kuwa TISS ni next to God. Aibu ya mwaka hii!
Charning lady hiyo information nayoitauta hapa huwezi kuipata labda kama Kova naye ni member wa JF na ajitolee kukupatia. Hapa kinachoendelea ni porojo tu.Wanajamvi hivi mbona bado hakuna taarifa rasmi????
HIVI HUYU JAMAA NI AFISA USALAMA FEKI AU ORIJINO???
Je ni nini kinaendelea???
Amekamatwa au lah????