Ofisa usalama 'feki' anaswa

Ofisa usalama 'feki' anaswa

Afisa Usalama! what a pit!
Nawaona watu wa kawaida sana. Ulinzi na Usalama wa Tanzania ni wa Watanzania wenyewe na hasa Wazalendo.
 
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa! Sawa bana wewe ni insider wa TISS UNAJUA ZAIDI. HEBU TUJUZE BASI, ULIWAONA WAPI VICHAA WA TISS?????? MANAKE UMESEMA TISS KUNA VICHAAA. NA HUO MPANGO WA KUUA MAHABUSU UMEUPATA WAPI??? HEBU THIBITISHA HAPA, KISHA TOA TAARIFA POLISI ILI WAHUSIKA WAKAMATWE!

Alikuwa na maana ya vichaa feki wale wa kuzungukazunguka! Watu mnaishi dunia gani.
 
Alikuwa na maana ya vichaa feki wale wa kuzungukazunguka! Watu mnaishi dunia gani.

duh!!, inamana mpaka leo TISS inatumia mbinu hiyo kukusanya taarifa.tiss kweli ni maanalogia.kwa hali hii,mpaka january mwakani tembo wetu watakuwa wamebaki wawili tu.lol
 
Afisa Usalama! what a pit!
Nawaona watu wa kawaida sana. Ulinzi na Usalama wa Tanzania ni wa Watanzania wenyewe na hasa Wazalendo.

Mkuu kuna watu mpaka leo wanadhani kuwa TISS ni next to God. Aibu ya mwaka hii!
 
Wanajamvi hivi mbona bado hakuna taarifa rasmi????

HIVI HUYU JAMAA NI AFISA USALAMA FEKI AU ORIJINO???

Je ni nini kinaendelea???

Amekamatwa au lah????
Charning lady hiyo information nayoitauta hapa huwezi kuipata labda kama Kova naye ni member wa JF na ajitolee kukupatia. Hapa kinachoendelea ni porojo tu.
 
Afisa usalama feki anaweza 'kustawi' pale tu ambapo jamii husika imejaa ubabaishaji, mambo kwenda kwa vimemo, jamii iliyolala, na ujinga-ujinga unaofanana na huo. Nchi za watu makini hakuna mambo haya.
 
Ukiona Polisi ina-'parade' watuhumiwa mara nyingi haina nia ya kuwafungulia mashitaka.. au kuna kitu hakiko sawa..
Kufuatana na mlolongo wenyewe inaweza kuwa huyu ni 'operative' na Polisi kwa kutokujuwa wame-'blow cover' yake
sasa wanataka kuweka mambo sawa..
 
Back
Top Bottom