Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Mwanangu unajua kama JamiiForums ina wanaume wa kataa ndoa😂😂😂Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili, mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, alafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge, jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe, first born yuko na Miaka 5, na anaemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Ni kutokujiamini eidha kuogopa kuzidiwa kiuchumi ama kuogopa kuto..mbewa.Roho mbaya tu wanaume zinawasumbua hapa.. ndoa isiwe sababu ya kuweka vizingiti vya mafanikio ya mtu wewe umeoa daktari na wewe ni daktari inamaana unajua kabisa kazi za daktari zilivyo.
Ache aende Marekani asome.
Kugongewa sio issue jioni tunalala na mimi nakamua! Issue ni kuondoka mazima!Ndicho nilichokiona mimi.
Ubinafsi ama kutokujiamini,unaweza ukamkuta za asiende kwa kutokujiamini na akakutosa vile vile kwa kukusaliti na mtu mwingine hapa hapa bongoland.
Haya maisha hayanaga kanuni.
😂😂😂😂Mkuu hao viumbe usihangaike kuwashikilia.Kugongewa sio issue jioni tunakala na mimi nakamua! Issue ni kuondoka mazima!
Ujanisoma! Vijana wa siku hizi hamjui ndoa! Unajua maana ya hile mahari unayolipa? Unajua zile nguo sijui za bibi, shangaz, mjomba? nk, nk,. Mimi nililipa mahari million 6. Unajua hiyo hela ya mahari familia ya kwao na mke wanaitumia kufanyia nini? Hakuna kifungo kigumu kama hicho! Ndo maana tunawashauri vijana mkitaka kuoa fuata taratibu! Ukifuata taratibu ukapewa mke ni wako milele na milele! Atakuheshimu na kukutii ili mradi na wewe timiza majukumu ya kumtunza! Mengine siwezi kuongea kwasababu vijana hamuelewi! Mnaokotana mitaani mnapelekeana moto alafu mnakuja kusanifu wazazi eti mnaoana! Ndo maana ngumi haziishi majumbani mwenu!😂😂😂😂Mkuu hao viumbe usihangaike kuwashikilia.
Najua wewe mtu mzima kuniliko mimi ila nakusisitiza usihangaike kuwashikilia.
Wanaweza kuamua kuondoka mazima hapo hapo unapowashikilia.
Mkuu Mie muislam tena ANSWAR.Ujanisoma! Vijana wa siku hizi hamjui ndoa! Unajua maana ya hile mahari unayolipa? Unajua zile nguo sijui za bibi, shangaz, mjomba? nk, nk,. Mimi nililipa mahari million 6. Unajua hiyo hela ya mahari familia ya kwao na mke wanaitumia kufanyia nini? Hakuna kifungo kama hicho! Ndo maana tunawashauri vijana mkitaka kuoa fuata taratibu! Ukifuata taratibu ukapewa mke ni wako milele na milele! Atakuheshimu na kukutii ili mradi na wewe timiza majukumu ya kumtunza! Mengine siwezi kuongea kwasababu vijana hamuhelewi! Mnaokotana mitaani manapelekeano moto alafu mnakuja kusanifu wazazi eti mnaoana! Ndo maana ngumi haziishi majumbani mwenu!
Mkuu itakuwa ni wewe na huyo mke ni wako.Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili, mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, alafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge, jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe, first born yuko na Miaka 5, na anaemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Wewe yanakuhusu nini? Janaume kama ka binti!Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.
Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.
Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Vipi anaenda na boss???Huyo boss ni jinsia gani?Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.
Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.
Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Uko na akili kama zangu, tutaishi miaka mingi sanaUmempa wazo konki.
Inabidi aangalie future ya watt wake na sio maku ya mke wake. Iyo inatafunwa na haishi Kama sabani. Akipata mme mzungu mwambie amkubalie awe anamchuna hela anamtumia. Kama vipi anaweza akamuunga Naye akawa anapiga kazi huko huko USA na kumuita jamaa Kama kaka yake.
Let us build future if our kids don't be selfish just thinking yourself
Mimi ni mshika Chaki, mimi na udaktari wapi na wapi.Mkuu itakuwa ni wewe na huyo mke ni wako.
Aende tu akasome, lakini awe tayari kwa lolote; nashauri baharia atafute msaidizi wa pembeni mwenye sifa za kuwa mke, huku akimsubiri mkewe arudi.