Ofisi mpya ya CHADEMA na ramani tuliyooneshwa vinakinzana sana

Taarifa kamili za hilo jengo sina, kama ni la kupanga au wamenunua, lakini nachojua hilo halitakuwa lakudumu kwa kuendeshea shughuli zao, bado wana mpango wa kujenga makao makuu yao.
Makao Makuu ndio pale Nenda Ardhi kafanye Title search utajua kama wamepanga au wamenunua Tumia basi akili
 
Wanadai wamenunua nyumba ya mtu lakini tuwape miaka miwili watupiwe vyombo nje tuambiwe mwenye nyumba Mbowe hajalipwa pesa ya pango!
 
Put here a map and a picture of the building and compare it with that you say.
 
Kwamba hapa ndio umejibu hoja ya ndugu aletaka tu, kufahamu status ya ofisi mpya ya Chama? 🤓 Kama huna jibu unaketi kimya tu kiungwana.

Vinginevyo kama ndio upambanaji basi katikati ya mapambano kuna kugeukana zaidi ya vikosi vya Wagner,
Hana hoja, hilo ni chawa la CCM linataka kuhamisha hoja ya bandari zetu!
 
Issue ni kuwa Chadema wapi ilitoaoficil ramani ya jengo la chama? wapi chadema wametangaza kuwa hilo lililochapishwa kwenye gazet dilo jengo jipya?

Let our focus be on Bandai zetu
 
Kwa maoni yangu, without fear of contradictions ukiangalia na kutathimini picha za jengo, hali ya jengo na location ya jengo. Whether ni jipya au la zamani, 2b is reasonable price kabisa. Muhimu tu liwe ni la chadema sio la kupanga.
 
Hahaaaaa unaifahama 2bi.?
 
Taarifa kamili za hilo jengo sina, kama ni la kupanga au wamenunua, lakini nachojua hilo halitakuwa lakudumu kwa kuendeshea shughuli zao, bado wana mpango wa kujenga makao makuu yao.
Tunahitaji ufafanuzi
 
Sasa Wewe ulidhani bil 2 utanunua ghorofa Mikocheni?
Hahaaa nyie jamaa mafisadi sana kwahyo hyo ofs mmepanga/mmenunua,Sasa ramani mlituonyesha ya nn huku hamna uwezo wa kujenga
 
Kwani wakiwa na Majengo mawili wanavunja sheria gani?

Uvccm mnawaza kimaskini sana ndio sababu mmeshindwa kuendesha Bandari mnaishia Kuendesha Kamari kwenye Maonesho ya Saba Saba 😄😄
Mnaonyesha Raman Kali mnakuja kujenga kijumba Cha udongo🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…