Ofisi mpya ya CHADEMA na ramani tuliyooneshwa vinakinzana sana

Ramani ilikutesa sana?

Ukiolewa utakuwa unaonea Wivu misosi ya mpangaji mwenzako 😄
Kuna ufisadi syo bure haiwezekani mchore Raman kwa garama kubwa ili hali hamtaijenga, inaonyesha hela zilikuwepo mmepga. Sahz mnaonyesha jengo la kupanga 🤣
 
Mbona una kiherehere sana.Chama bado hakijatoa taarifa yake na uzindua bado wewe kiguu na njia kukimbikia kuleta kiherehere hapa.kaa utulie.
 
Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA.

Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua yanayolizunguka jengo.

Tunaomba chama (CHADEMA) kitoke hadharani kijibu maswali yafuatayo;
1. Ramani ya awali mmejengea jengo la Nani? Na kwanini mlitumia garama kubwa kuandaa ramani ili Hali mnajua hamtaitumia?

2. Hilo jengo mmenunua/mmejenga na Kama mmejenga kwanini mlituficha Ramani mkaonesha Ramani ya ghorofa?

3. Nani mmiliki wa chopa?

ASANTENI
Naishukru serikali chini ya Dr. Samia kwa kuendeleza Uhuru wa habari na kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa.

Why usiulize kiasi cha pesa ulichotoa na Aina ya jengo lililojengwa?

Unauliza its like kuna pesa yoyote umetoa

Mambo mengine yaache Tu yakupite sio kila kitu kuhoji
 
Hela ni ruzuku Kodi zetu mmepokea ruzuku toka 1992 hadi Leo hii mnatuonyesha nyumba used Tena yakupanga. Hela mmepeleka wapi
 
Mnaonyesha Raman ya gorofa mnazindua nyumba ya kupanga hopeless kabisa Nyie 🚮 ndo maana mnakaa Ni viongozi miaka 28 hamubadilishi. Ndo maana mnaitwa MANYUMBU Kama ww hvi kiazi we!
You have no argument, only blem, you gay.
 
Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA.

Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua yanayolizunguka jengo.

Tunaomba chama (CHADEMA) kitoke hadharani kijibu maswali yafuatayo;
1. Ramani ya awali mmejengea jengo la Nani? Na kwanini mlitumia garama kubwa kuandaa ramani ili Hali mnajua hamtaitumia?

2. Hilo jengo mmenunua/mmejenga na Kama mmejenga kwanini mlituficha Ramani mkaonesha Ramani ya ghorofa?

3. Nani mmiliki wa chopa?

ASANTENI
Naishukru serikali chini ya Dr. Samia kwa kuendeleza Uhuru wa habari na kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa.
Kwani ukioneshwa ramani baadae wakaja na wazo tofauti la kujenga tofauti na ramani ya awali kuna nongwa gani? so far jengo ni lao, muwasho unatokea wapi?
 
Jengo ni la umma Ni Kodi zetu Ni ruzuku zetu acheni utapeli
 
Mbona mnakuwa wakali jibuni maswali hayo...mnaficha maovu yenu kwa mgongo wa bandari wezi nyie🤣
Nimekwambia ivo kwasaabbu umeshindwa kujua hilo jengo unalolisema sio kwa ajili ya Dar mzee
 
Back
Top Bottom