Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari ,lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo....
mkuu kuna nchi zinataka kuanza kuenroll covid passport tayariNaunga mkono hoja mkuu,,
Itafika mahala bila chanjo hupandi ndege ..
Ndy hapo utachoma sindano ya kinga huku unalia..
Kuna waliochanjwa, wameambukizwa na kufa, kuna haja gani kuchanjwa kama ngoma ni drooDunia imepigwa upofu walahi,
Mtu amechanja lakini bado ana hofu ya kuambukizwa??
Mbona hata kiongozi wako Mbowe, Tundu lisu wanasisitiza chanjo!Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo...
Gwajima anawapotosha sana.Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo...
Kwan wewe hujawahi kuchanjwa? Kuchanjwa ni kujikinga na magonjwa, ishu ni je imehakikiwa? Hivi unadhaninwakati wa jiwe ndio nchi hii tulikuwa salama?Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo..
Hakuna nchi duniani imefanya hivi, na haitatokea kamwe. Ukiwaza kitu, fikiri kwa mapana kabla ya kuandika tu, hujui kufanya uchambuzi vema wa mambo unaonekanaJapo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo...
Muache ujinga nyie mnaochomwa na bado mnakua na hofu ya ku rip na hihio coonaGwajima anawapotosha sana.
Nendeni mkachome chanjo acheni ujinga
Hutanunua wala kuuza mpaka ukubali chapa ya mnyama666 at work